MWENDO MDUNDO.!
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Magufuli, Lowassa sasa mwendo mdundo
11 years ago
GPLRIDHIWANI KIKWETE MWENDO MDUNDO JIMBO LA CHALINZE
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Kampeni za Urais za Dk Magufuli ni mwendo mdundo Mtwara
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Mashujaa mjini Mtwara jana, ambapo alijinadi na kuwanadi wagombea ubunge pamoja na wagombea udiwani katika Manispaa ya Mtwara.
Dk Magufuli tayari hadi sasa amefanya mikutano ya kampeni katika mikoa 6 ya Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe, Ruvuma na Mtwara. ambapo aakishinda uchaguzi ameahidi mambo mbalimbali kama vile ile ya bure kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha...
9 years ago
Dewji Blog05 Sep
Lucy Magereli wa CHADEMA Jimbo la Kigamboni mwendo mdundo achanja mbuga!
Mgombea Ubunge jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akipeperusha benndera ya UKAWA, Kamanda Lucy Magereli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Kigamboni-Dar es Salaam) Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia anapeperusha bendera ya UKAWA inayoungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi, NLD, CHADEMA na CUF, Kamanda Lucy Magereli amewataka wananchi wa jimbo hilo la Kigamboni kumpigia kura za ndio hiyo Oktoba 25, mwaka huu...
10 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili11 May
Mwanamziki wa mdundo wa 'Rock and Roll' Little Richard afariki dunia