Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli-Nitaongoza Serikali yenye utajiri

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema atarithi Serikali tajiri na kuwataka Watanzania kuwa makini kuchagua kiongozi muadilifu, akionya kuwa wasio waadilifu wameshaanza kujipanga kugawana rasilimali za Taifa, ikiwemo gesi asilia na bandari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Siendi ikulu kusaka utajiri — Magufuli

256 NA BAKARI KIMWANGA, KILIMANJARO

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema haombi nafasi ya urais kwa ajili ya kutafuta utajiri.

Akizungumza na wananchi katika mikutano yake ya kampeni iliyofanyika wilaya za Siha, Hai na Moshi mkoani Kilimanjaro jana, Dk. Magufuli alisema lengo lake ni kutaka kuleta mabadiliko ya kweli ya maendeleo kwa Watanzania.

Dk. Magufuli alisema suala la utajiri na kujilimbikizia mali, si utamaduni wake, na kama angeutaka,...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Nitaongoza nchi kisayansi

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema nchi inaendelea kupoteza maadili, hivyo kuahidi kusimamia uwajibikaji katika sekta ya umma endapo atapitishwa na CCM na kisha kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msigara: Nitaunga mkono serikali yenye mazingira rafiki

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Frederick Msigara, amesema hana uhakika kama muundo wa serikali tatu unaweza kuwa njia pekee ya ufumbuzi wa kero walizonazo wananchi. Msigara alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bunge dhaifu linaweza kuidhibiti serikali yenye nguvu?

KUNA mambo mawili yamenifanya nitafakari tena kuhusu  uhalisia wa kazi za Bunge.  Na kwa uhalisia  nilikuwa naangalia kazi yake kuidhibiti serikali. Hii ni kazi kubwa ya sana na muhimu kwa Bunge. Lakini inaelekea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli akagua barabara yenye urefu wa km 89, Manyoni-Itigi Mkoani Singida

DSC03899

Waziri wa ujenzi Dk.John Magufuli, akipokelewa katika kijiji cha Chaya mpakani mwa Singida na mkoa wa Tabora na Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Matari Masige. Dk.Magufuli alikuwa akitokea mkoa wa Tabora ambako alikuwa kikazi kakagua barabara.

Na Nathaniel Limu, Itigi

Waziri wa ujenzi, Dk. John Pombe  Joseph Magufuli, amewakumbusha wafanya biashara wanaosafirisha/mizigo kwa kutumia barabara, wahakikishe wanazingatia uzito uliowekwa kisheria, ili barabara zinazojengwa kwa gharama...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPOKEA MABEHEWA 25 YENYE THAMANI YA SH.BILIONI 4.3 KUTOKA INDIA

 Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kulia), akiangalia moja ya mabehewa kati ya mabehewa 25 mapya ya kubebea kokoto yenye thamani ya sh.bilioni 4.3 aliyoyapokea kutoka Kampuni ya M/S Hindusthan Engineering and Industriles Limited ya India Dar es Salaam Leo, kwa ajili ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL). Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Mhandisi Kipalo Kisamfu. Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (katikati), akifurahia jambo wakati wa kupokea mabehewa hayo. Kushoto...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA USAGARA- KISESA YENYE UREFU WA JUMLA YA KM 16.8 JIJINI MWANZA

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LENYE UREFU WA MITA 67.95 KATIKA BARABARA YA USAGARA –KISESA YENYE UREFU WA KM 16.8 WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPANDA KWENYE TUTA MARA BAADA YA UKAGUZI WA BARABARA YA USAGARA –KISESA YENYE UREFU WA JUMLA YA KM 16.8. WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIWAHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI WA KATA YA FELA KUHUSU MAENDELEO NA CHANGAMOTO ZA UJENZI WA BARABARA YA USAGARA –KISESA YENYE UREFU WA JUMLA YA KM 16.8. WAZIRI...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AZURU MAENEO YENYE MAWE NDANI YA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli akiwa kwenye miongoni mwa mawe yaliypo ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, alipoamua kuzuru maeneo yenye mawe hayo, leo. Nyingine ni picha tofauti tofauti akiwa kwenye maeneo hayo ya mawe. (Picha zote na Ikulu



 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT-SCAN KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YENYE UWEZO WA HALI YA JUU

Na Magreth Kinabo –MAELEZO.
Serikali imenunua mashine  mpya ya CT-Scan yenye thamani ya  takriban dola  za Marekani milioni 1.7  yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali  katika Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
 Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoifanya hivi karibuni ambapo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuboresha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani