Magufuli: Sijui tumeponaje
SIKU moja baada ya viongozi waandamizi wa serikali kunusurika kufa katika ajali ya helikopta iliyoanguka juzi wakati ikijaribu kuruka, viongozi hao wamesema hawajui waliponaje. Viongozi hao ni pamoja na Makamu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Sijui niseme ‘rest in peace’ Taifa Cup
Miaka ya 60 hadi 70 kulikuwa na kombe lililokuwa linaitwa Sunlight. Hili lilikuwa linashindaniwa na mikoa, timu za mikoa zilikuwa zikionyeshana kazi kweli kweli.
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Sijui kama Wanakumbuka,leo ni januari 26,2015
Baada ya kusubiri saa 48 za taarifa kutoka mjengo mweupe, kinachofuata ni mivutano ya hoja. Tunataraji kusikia hoja zikitoka Makao Makuu mjengoni kuanzia kesho.
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Sijui nitacheza wapi msimu ujao:Messi
Hatima ya Nahodha wa Ajentina Lionel Messi kusalia katika klabu yake ya barcelona bado iko mashakani.
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Awadh Juma: Sijui hatima yangu Simba
MCHEZAJI wa Simba, Awadh Juma amekiri kutofahamu hatima yake ndani ya klabu ya Simba kutokana na uvumi kuwa uongozi wake unataka kumpeleka kwa mkopo kwa timu ya Stand United ya...
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Riek Machar:Sijui nitarudi lini uongozini
Makamu wa rais wa zamani wa Sudan Kusini, Riek Machar, anasema kuwa hajui ni lini atarejea nchini humo na kuendelea na kazi yake.
10 years ago
GPLTIKO: SIJUI HATA IDADI YA WANAUME NILIOTOKA NAO
Mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Stori: Gladness Mallya Leo mwandishi wetu Gladness Mallya amemnasa mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Unataka kujua ameulizwa maswali gani na akajibu vipi? Fuatilia hapa chini. Ijumaa: Wasanii wengi mna tabia ya kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, yaani yupo wa kukupa fedha, wa mapenzi na wa kujirusha...
11 years ago
Bongo509 Jul
David Luiz: Sijui tutafanya nini ili tuwaone tena Wabrazil wakitabasamu!
Nahodha wa muda wa Brazil, David Luiz amewataka mashabiki wa timu hiyo kote duniani kuwasamehe wachezaji waliokuwa uwanjani Selecao ilipoadhibiwa kichapo cha mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la dunia huko Brazil. David Luiz akilia kwa uchungu baada ya kipigo cha goli 7-1 Luiz ambae alionekana akilia kwa […]
10 years ago
Bongo526 Sep
Mnafikiria hatupendi na sisi kuandika LONDON, NIGERIA GET READY TONIGHT? sijui kuna kizuizi gani- Roma
Miongoni mwa ndoto alizonazo kila msanii ni pamoja na kuwa mwanamuziki mkubwa wa ndani na baadae kuvuka mipaka ya nyumbani na kutambulika nje. Roma amekiri kuwa miongoni mwa wasanii wenye ndoto hizo japo amekosa jibu la kwanini mpaka sasa hajaanza kupata mashavu kama ya Diamond ya kupata show za nje. Kupitia Instagram rapper huyo amezungumza […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania