Mnafikiria hatupendi na sisi kuandika LONDON, NIGERIA GET READY TONIGHT? sijui kuna kizuizi gani- Roma
Miongoni mwa ndoto alizonazo kila msanii ni pamoja na kuwa mwanamuziki mkubwa wa ndani na baadae kuvuka mipaka ya nyumbani na kutambulika nje. Roma amekiri kuwa miongoni mwa wasanii wenye ndoto hizo japo amekosa jibu la kwanini mpaka sasa hajaanza kupata mashavu kama ya Diamond ya kupata show za nje. Kupitia Instagram rapper huyo amezungumza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Mshikamano wa madereva umetuachia sisi fundisho gani
11 years ago
BBCSwahili25 Oct
Kuna njama dhidi ya Misri asema Al-Sisi
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Kuna siri gani hati za Muungano?
HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...
9 years ago
Michuzi
Je, Kuna Tatizo Gani Kula Nyama?

10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Rais kutibiwa Marekani kuna ubaya gani?
RAIS wangu, ‘inji hii, washa tu babaangu’ kajisemea Lyatonga! Wahenga walisema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha! Kuna watu wako hapa, Rais wangu hata ufanye nini kwao hamna jema. Jamani...
11 years ago
Mwananchi12 Mar
DIRA: Kuna dhambi gani kudai Serikali ya Tanganyika?-2
10 years ago
GPL
KUNA UBAYA GANI KUFUATILIA NYENDO ZA MPENZI WAKO?
11 years ago
GPL
ASICHOKIPENDA MPENZI WAKO, KUNA HAJA GANI KUKILAZIMISHA?
11 years ago
Mwananchi04 May
Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?