Magunia ya Kokeni yagunduliwa Ureno
Polisi yanasa takriban magunia 200 ya kokeni iliyokuwa ikiuzwa ndani ya visanduku katika maduka mbalimbali ya jumla nchini Ureno
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Dec
Mfanyabiashara wa Dar anaswa na kokeni KIA
MFANYABIASHARA wa jijini Dar es Salaam, Rukia Mohamed (29) amekamatwa na dawa za kulevya aina ya kokeni zenye uzito wa zaidi ya kilo 2 zikiwa na thamani ya mamilioni ya fedha jana usiku katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
10 years ago
Habarileo15 Aug
Mcolombia kortini kwa kuingiza kokeni
RAIA wa Colombia, Andres Uribe (38), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya kokeni zenye thamani ya Sh milioni 45.2.
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Miili ya watu 19 yagunduliwa Mexico
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Gesi nyingi yagunduliwa Misri
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Taya ya mtu wa kwanza yagunduliwa
11 years ago
Habarileo03 Apr
Kortini wakidaiwa kusafirisha kokeni za mil 250/-
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 240.9
10 years ago
Michuzi03 Dec
WAWILI WAKUTWA NA MAGUNIA 12 YA BANGI
JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wawili wakazi wa mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kupatikana na magunia 12 ya Bangi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha kamanda wa Polisi mkoani humo Ulrich Matei alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na askari waliokuwa doria.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea huko Desemba 2 mwaka huu majira ya 4.40 usiku kwenye pori la Vikawe kata Pangani wilaya ya Kibaha.
Aliwataja...
11 years ago
BBCSwahili16 Jun