Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD

Kuwa na mpenzi ni kitu cha kawaida katika maisha ya mtu mzima na  pengine  kila mtu mzima hapa labda anampenzi wake, ila linapokuja swala la mapenzi ya mtu maarufu katika jamaii, akiwa na mpenzi  na wakiamua jamii itambue hiyo lazima iwe story.

Msanii mwenye vipaji  vya kucheza filamu na kuimba muziki, Muhammed Seleman  aka Hemmed PHD, kupitia mitandaoni  amekuwa akitupia picha za akiwa na  mrembo huyu wakiwa katika mapozi ya kimahaba zaidi na kuandika maneno yakaashiria kwa wo ni wapenzi....

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HUYU NDIE RAIS WA KARNE JPM

Leo nimemsikiliza kwa Makini san Rais wetu Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akimuapisha waziri wa katiba na Sheria Mhe Mwigullu Madelu Nchemba na haya ndio mananeo yaliyogusa moyo wangu

-JPM yuko tayari kutuma ndege kwenda Madagascar kuleta dawa inayotajwa kutibu virusi vya korona, hapa anamanisha yuko tayari kufanya chochote chema kwa wananchi wake

- JPM ameonyesha kusikitishwa na jinsi watu wanaofariki na korona wanavyoshughulikiwa akitolea mfano tukio la Marehemu Dc Evod Mmanda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala,Wolper na Hemmedy Kambini Tegeta Kwa Mzigo Mpya

Mwako 2014 ukiwa unaendea ukingoni kumalizika, waigizaji Jackline Wolper na Kajala Masanja pamoja nawaigizaji wengine akiwemo Hemmedy Selemani " Hemmedy PHD" wameonekana wapo mzigoni kutengeneza filamu mpya.

Akiweka picha hii mtandaoni leo asubuhi, Wolper alii-caption;

“Watu wengne tumenuna kuamshwa mapema wengne wanatabasam..jamani haya bana ..new movie location day2 Mungu tusimamie”

Akionyesha kuwa wapo kambini, na badae Kajala kuongeza kwa maneno  “@tegeta location moja....."...

 

11 years ago

BBCSwahili

Peter Mutharika ndie rais mteule Malawi

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima.

 

11 years ago

Dewji Blog

Raisa ndie Redds Miss kanda ya Kaskazini

Hawa ndio washindi wa Redd’s Miss kanda ya Kaskazini kwa mwaka 2014.

Hawa ni wadhimini wa shindano hilo kutoka Minjingu.

LEMUTUZ nae alikuwemo ndani ya Redd’s Miss Kanda ya Kaskazini  bila kumsahau mwenyekiti wa Taswa Juma Pinto.

Mkuu wa mkoa wa Arusha pamoja na mkuu wa mkoa wa Manyara waliuthuria katika usiku huo wa kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini ambapo katika shindano hilo warembo wanne wa mwanzo wataingia katika kambi ya Redd’s miss Tanzania.

  Hashim Lundenga...

 

10 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara ndie msemaji mpya wa Simba

UONGOZI  wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.
"Kamati ya Utendaji ya Simba  imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba...

 

10 years ago

Bongo Movies

Le Mutuz: Asante Lulu,Wewe Ndie Rafiki wa Kweli!

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka

“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz mazafantazzzz.....nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani