Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIE RAIS WA KARNE JPM

Leo nimemsikiliza kwa Makini san Rais wetu Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akimuapisha waziri wa katiba na Sheria Mhe Mwigullu Madelu Nchemba na haya ndio mananeo yaliyogusa moyo wangu

-JPM yuko tayari kutuma ndege kwenda Madagascar kuleta dawa inayotajwa kutibu virusi vya korona, hapa anamanisha yuko tayari kufanya chochote chema kwa wananchi wake

- JPM ameonyesha kusikitishwa na jinsi watu wanaofariki na korona wanavyoshughulikiwa akitolea mfano tukio la Marehemu Dc Evod Mmanda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD

Kuwa na mpenzi ni kitu cha kawaida katika maisha ya mtu mzima na  pengine  kila mtu mzima hapa labda anampenzi wake, ila linapokuja swala la mapenzi ya mtu maarufu katika jamaii, akiwa na mpenzi  na wakiamua jamii itambue hiyo lazima iwe story.

Msanii mwenye vipaji  vya kucheza filamu na kuimba muziki, Muhammed Seleman  aka Hemmed PHD, kupitia mitandaoni  amekuwa akitupia picha za akiwa na  mrembo huyu wakiwa katika mapozi ya kimahaba zaidi na kuandika maneno yakaashiria kwa wo ni wapenzi....

 

11 years ago

BBCSwahili

Peter Mutharika ndie rais mteule Malawi

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema: Rais JPM anatekeleza sera za wapinzani

Wakati Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli akionekana kuteka hisia za Watanzania wengi, Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  kimesema hakishtushwi kwani amekuwa akitumia  hoja, mikakati na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI MKUU: Shauku, Matarajio ya Uundwaji wa Serikali ya Rais JPM

Ni dhahiri kwa sasa macho, masikio na mawazo ya Watanzania yameelekezwa kwenye uundwaji wa Serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli. Shauku na matarajio juu ya sura zitakazokuwamo kwenye Baraza la Mawaziri pamoja na watendaji wengine, vinatokana na kujipambanua vilivyo kwa Dk Magufuli pamoja na timu nzima ya CCM wakati wa kampeni za uchaguzi.

 

5 years ago

Michuzi

IKUNGI YATEMBEA NA FALSAFA YA RAIS JPM KWA ASILIMIA 100

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi mwenye miwani akizungumza na akina mama wafanya biashara ya viazi lishe wa Kitongoji cha Kideka kijiji cha Nkunikana kuhusu kuchukua tahadhari ya kujikinga na Corona-Covid 19,Pichaini kulia Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Edward Mpogolo kushoto Mkurugenzi Mtendaji Justice Kijazi


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi(mwenye miwani) akitoa maelekezo ya namna bora ya kufanya kazi katika kikundi kwa wakikundi cha Jitume Vijana chenye vijana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais fukara huyu hapa

WAKATI viongozi wakuu wa nchi mbali mbili duniani wakiishi maisha ya ukwasi wa hali ya juu kutegemeana na uchumi wa taifa husika, hali hiyo iko tofauti kwa Rais wa Uruguay,...

 

9 years ago

Mwananchi

Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna mstaafu Alfred Tibaigana amesema Rais John Magufuli amepatikana wakati sahihi, kwa kuwa nchi inamhitaji kiongozi ambaye akitoa amri inatekelezwa mara moja.

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA JIJI YAMPONGEZA RAIS JPM KWA HATUA ALIZOCHUKUA KUKABILIANA NA COVID 19


Kaimu Ofisa Afya wa Jiji la Tanga Hamza Maulidi akizungumza wakati akitoa elimu katika semina ya siku mbili  inayotolewa kwa Wasaidizi wa msaada wa kisheria (Paralegals) kutoka halmashauri 11 zilizopo mkoani Tanga.
Kaimu Ofisa Afya wa Jiji la Tanga Hamza Maulidi akizungumza wakati akitoa elimu katika semina ya siku mbili inayotolewa kwa Wasaidizi wa msaada wa kisheria (Paralegals) kutoka halmashauri 11 zilizopo mkoani Tanga
Programu Meneja wa Shirika la TEWOREC Halima Jabiri Saguti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani