Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kufanyika Januari 31, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-cUqRr7dRWQg/VIKyyPneBZI/AAAAAAAG1kY/Ewimg0GJzBI/s72-c/banner.png)
Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2015 katika viwanja vya chuo hicho na yatatanguliwa na utoaji wa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wahitimu ambao wamefanya vizuri katika masomo yao.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi05 Dec
Mahafali DIT kufanyika Januari 2015
Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), yanatarajiwa kufanyika Januari 31 mwaka huu katika viwanja vya chuo hicho na yatatanguliwa na utoaji wa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wahitimu ambao wamefanya vizuri katika masomo yao.
Taarifa ya DIT kwa vyombo vya habari imesema kuwa tuzo kwa wanafunzi zitatolewa Januari 23 mwaka huu ikiwa ni wiki moja kabla ya mahafali hayo ambayo wahitimu katika ngazi na masomo tofauti watatunukiwa. Wahitimu watakaotunukiwa ni siku hiyo...
Taarifa ya DIT kwa vyombo vya habari imesema kuwa tuzo kwa wanafunzi zitatolewa Januari 23 mwaka huu ikiwa ni wiki moja kabla ya mahafali hayo ambayo wahitimu katika ngazi na masomo tofauti watatunukiwa. Wahitimu watakaotunukiwa ni siku hiyo...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vHKTwxLSiRQ/VmSc6stIlHI/AAAAAAAIKho/ohorXGvwGzE/s72-c/s.png)
MAHAFALI YA TISA YA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vHKTwxLSiRQ/VmSc6stIlHI/AAAAAAAIKho/ohorXGvwGzE/s320/s.png)
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
![5](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/52.jpg)
11 years ago
GPLYALIYOJIRI KWENYE MAHAFALI YA 19 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM (DSJ)
Mgeni rasmi akiwa katika meza kuu na Mkuu wa chuo , pamoja na viongozi wengine wa chuo na viongozi wa Serikali ya wanafunzi .
Kutoka kushoto ni Fabian, Dotto Mandolin Kahindi, Abushehe Nondo, Benjamin Mwangoka .…
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
KWA...
10 years ago
GPLMAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
 Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasmi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.…
10 years ago
MichuziTASWIRA KATIKA MAHAFALI YA TISA YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLMAHAFALI YA NANE YA CHUO CHA WAALIMU WA SHULE ZA AWALI CHA NEW MONTESSORI TEACHERS COLLEGE YALIVYOFANA
 Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi akizungumza na wahitimu katika mahafali hayo yaliyofanyika Shule ya Msingi ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.  Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi (kushoto), akizungumza katika mahafali hayo.  Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Haris Kapiga akisisitiza jambo wakati akizungumza na… ...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu anogesha mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania