Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahafali DIT kufanyika Januari 2015

Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), yanatarajiwa kufanyika Januari 31 mwaka huu katika viwanja vya chuo hicho na yatatanguliwa na utoaji wa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wahitimu ambao wamefanya vizuri katika masomo yao. 
 Taarifa ya DIT kwa vyombo vya habari imesema kuwa tuzo kwa wanafunzi zitatolewa Januari 23 mwaka huu ikiwa ni wiki moja kabla ya mahafali hayo ambayo wahitimu katika ngazi na masomo tofauti watatunukiwa. Wahitimu watakaotunukiwa ni siku hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kufanyika Januari 31, 2015

Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2015 katika viwanja vya chuo hicho na yatatanguliwa na utoaji wa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wahitimu ambao wamefanya vizuri katika masomo yao.

Taarifa ya DIT kwa vyombo vya habari imesema kuwa tuzo kwa wanafunzi zitatolewa Januari 23 mwaka huu ikiwa ni wiki moja kabla ya mahafali hayo ambayo wahitimu katika ngazi na masomo tofauti watatunukiwa.

Wahitimu watakaotunukiwa ni siku hiyo ni pamoja na...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA TISA YA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)

Mahafali ya tisa ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), yanatarajiwa kufanyika Jumamosi 30 Januari mwaka 2016 na yatatanguliwa na utoaji tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mwaka wa masomo 2014/2015.

Sherehe hizo za utoaji wa tuzo kwa wahitimu waliofanya vizuri, zitafanyika mapema 22 Januari mwaka 2016 katka viwanja vya chuo hicho kikongwe cha masuala ya teknolojia nchini.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na taasisi hiyo, inawafahamisha wahitimu wote wa mwaka wa masomo...

 

10 years ago

Michuzi

Membe mgeni rasmi mahafali UB, kufanyika kesho Bagamoyo

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, kesho Jumamosi Desemba 6 anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi Katika Mahafali ya Pili ya  Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo kwa vyombo vya Habari Dar Es Salaam,  na Ofisa Habari wa  ( UB), Happiness Katabazi, inasema Kuwa Membe ndiye Atakuwa mgeni rasmi Katika mahafali hayo ambayo yatafanyika Katika Hoteli ya Kiromo  View Resort  kijijini Kiromo Wilayani Bagamoyo,Mkoani Pwani.

Katabazi alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kukuza biashara na ushirikiano kwa sekta za umeme za Afrika kufanyika mjini Washington DC Januari mwakani

poweringafricasummit

-Umeme Afrika: Mkutano Utafanyika Katika Mji wa Washington DC, Tarehe 28-30 Januari 2015,

-Ahadi Kutoka Nchi 12 za Afrika Kukuza Ushiriki wa Sekta ya Kibinafsi Katika Sekta ya Umeme ya Afrika

Kwa miaka 20 iliyopita EnergyNet imepanga mikutano ya wawekezaji na baadhi ya wakuzaji wa umeme wa kuaminika na mashuhuri wanaoendesha biashara barani Afrika.  Symbion Power, GE, Siemens, Copperbelt, Goldwind, Azura Power, Aldwych, Karpowership, Globeleq, Schneider Electric, ESBi, Transcorp, Chint,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya Kidato cha nne shule ya sekondari WAMA-NAKAYAMA kufanyika jumapili hii

nyamisati10

TANGAZO- MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE WAMA NAKAYAMA2.pdf by moblog

 

10 years ago

GPL

DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT): APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO ORDINARY DIPLOMA PROGRAMMES FOR 2015/2016

DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO ORDINARY DIPLOMA PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016 (Accredited by the National Council for Technical Education-NACTE) The Dar Es Salaam Institute of Technology invites applications from qualified candidates for the admission into the Institute’s Ordinary Diploma Programmes for the academic year 2015/2016 scheduled to commence in...

 

10 years ago

GPL

REST IN PEACE JANUARI 2015

Shikamoo Januari, kwa heri Januari, tangulia Januari. Nakumbuka sana siku ulipoingia, tulikuwa nje tunakusubiri kwa hamu, na ulipofika tukaripuka kwa furaha kubwa, tukapiga miluzi, madebe, na kukumbatiana, bila kujali umemkumbatia nani, mimi mwenyewe kwa mara ya kwanza nilimkumbatia mama mwenye nyumba wangu na tukapeana pongeza kubwa, na kutakiana heri ya mwaka mpya wenye furaha. Nilimkumbatia jirani yangu, baadaye nikamkumbatia...

 

10 years ago

Michuzi

KANDANDA DAY 2015 KUFANYIKA OKTOBA 17, 2015 TCC CLUB CHANG'OMBE, DAR ES SALAAM

Kamati ya maandalizi ya tamasha la ‘Kandanda Day 2015’, inatarajia kufanya tamasha lake la kila mwaka,litakalofanyika katika Viwanja vya TCC Oktoba 17
mwaka huu,Chang’ombe, Dar es Salaam.


Katika tamasha la mwaka huu,mbali na kuwepo kwa mechi kati ya Timu DizoMoja na Timu Ismail, lakini pia kutakuwa na matukio mbalimbali ya kimichezo na kijamii
yatakayoendelea. Mratibu wa tamasha hilo Patrick Dumulinyi,alitanabaisha kuwa siku hiyo, kutakuwepo na mchezo wa utangulizi ambao utahusisha kituo cha...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Februari, 2015. Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini wakati Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza nao leo jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani