Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REST IN PEACE JANUARI 2015

Shikamoo Januari, kwa heri Januari, tangulia Januari. Nakumbuka sana siku ulipoingia, tulikuwa nje tunakusubiri kwa hamu, na ulipofika tukaripuka kwa furaha kubwa, tukapiga miluzi, madebe, na kukumbatiana, bila kujali umemkumbatia nani, mimi mwenyewe kwa mara ya kwanza nilimkumbatia mama mwenye nyumba wangu na tukapeana pongeza kubwa, na kutakiana heri ya mwaka mpya wenye furaha. Nilimkumbatia jirani yangu, baadaye nikamkumbatia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Sijui niseme ‘rest in peace’ Taifa Cup

Miaka ya 60 hadi 70 kulikuwa na kombe lililokuwa linaitwa Sunlight. Hili lilikuwa linashindaniwa na mikoa, timu za mikoa zilikuwa zikionyeshana kazi kweli kweli.

 

10 years ago

Michuzi

Mahafali DIT kufanyika Januari 2015

Mahafali ya nane ya Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), yanatarajiwa kufanyika Januari 31 mwaka huu katika viwanja vya chuo hicho na yatatanguliwa na utoaji wa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wahitimu ambao wamefanya vizuri katika masomo yao. 
 Taarifa ya DIT kwa vyombo vya habari imesema kuwa tuzo kwa wanafunzi zitatolewa Januari 23 mwaka huu ikiwa ni wiki moja kabla ya mahafali hayo ambayo wahitimu katika ngazi na masomo tofauti watatunukiwa. Wahitimu watakaotunukiwa ni siku hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Februari, 2015. Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini wakati Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza nao leo jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Sijui kama Wanakumbuka,leo ni januari 26,2015

Baada ya kusubiri saa 48 za taarifa kutoka mjengo mweupe, kinachofuata ni mivutano ya hoja. Tunataraji kusikia hoja zikitoka Makao Makuu mjengoni kuanzia kesho.

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015: JANUARI VS MWIGULU NGOMA NZITO!

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba (41). HOMA ya Uchaguzi Mkuu 2015 inazidi kupanda. Wapo baadhi ya wagombea wa urais ambao tayari wameshatangaza nia hadharani lakini wengine wanaendeleza harakati zao chini kwa chini.
Miongoni mwa makada ambao tayari wameonesha nia ya kutaka kugombea ni pamoja na vijana, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (40) na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na...

 

10 years ago

Vijimambo

ZuRii House Of Beauty Kufunguliwa Rasmi 12 Januari 2015

Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015.

Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4.

Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.

Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo wa kila aina. Vitu vyao ni 100% original na vyote vinatokea UK na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani