Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mahafali ya Shemssah Junior Nursery School na ziara ya wanafunzi fun city

Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School iliyopo Karakata Uwanja wa Ndege Jijini Dar es Salaam wakiwa katika ziara ya kimasomo ufukwe wa Bahari, Funy City Kigamboni pamoja na mahafali yao ikiwa kusheherekea kumaliza elimu ya awali. Shule hii ipo chini ya Mwalimu Aisha Juma Kibukillah Mmoja wa  Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School akipokea cheti toma kwa mgeni rasmiBaadhi ya Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School wakiwa Fun City, KigamboniWanafunzi wa Shemssah Junior Nursery...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHULE YA AWALI YA ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL SASA KUANZA KUTOA ELIMU YA MSINGI MWAKANI, MAHAFALI YAO YAFANA

Wanafunzi ambao ndio wamehitimu shule ya ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL leo shule ambayo ipo bunju jijini Dar es salaam hapa wakikata keki pamoja na mwalimu wao ishara ya kufurahia mafanikio waliyoyapata pamoja na mafanikio ya shule hiyo tanghu kuanmzishwa kwakeWahitimu wakiwa katika pozi za kusubiri sherehe ya kuwaaga rasmi kutoka elimu ya awali kuingia elimu ya msingiMgeni rasmi wa mahafali hayo mama NEEMA KIBANGA ambaye ni afisa elimu wa kata ya bunju akikabidhi vyeti kwa...

 

11 years ago

Church to construct nursery school worth 215m/


Church to construct nursery school worth 215m/-
Daily News
MIRACLE Assemblies of God Ministry (MAGM) in Singida Region is constructing a nursery school which will cost over 214m/- after its completion. The newly installed Resident Bishop John Sanango Tesha, said here on Saturday that doing so was part of the ...

 

10 years ago

GPL

LITTLE LAND NURSERY & MONTESSORI CENTRE WAFANYA SHEREHE YA KUWAAGA WANAFUNZI WANNE

Mkuu wa Shule, Mary Lugora akizungumza na wanafunzi hao (hawapo pichani) . Mwalimu mkuu akiwa na mwalimu Rose. Wanafunzi waliohitimu katika shule…

 

11 years ago

Michuzi

Salam za Nane Nane kutoka Rahman Nursery School,Segerea jijini Dar

Shule ya chekechea na madrasa  Rahman ya Segerea jijini Dar-es-salam inatoa salam za sikuu ya Nane Nane kwa wadau na waTanzania wote.Karibuni sana tupo segerea mwisho.

 

9 years ago

TheCitizen

ELECTION SEASON FUN : MP nearly killed over remarks on 1963 school poll

Tanzania’s children and grandchildren of God are anxiously awaiting formation of a Cabinet by the man famously referred to by the man from the shores of a certain lake, to signal the end of the movie-like election season.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fun City yajipanga kwa burudani Pasaka

WAKATI Watanzania wakiwa kwenye maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka, Kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la Fun City jijini Dar es Salaam, imeboresha burudani ikiwamo kuongeza mitambo yenye uwezo...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA WANAFAMILIA LA AIRTEL LAFANA FUN CITY WEEKEND

 Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka
(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, Jackson
Mmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango  Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani