Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA WANAFAMILIA LA AIRTEL LAFANA FUN CITY WEEKEND

 Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka
(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, Jackson
Mmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango  Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SIKU YA WANAFAMILIA YA KAMPUNI YA AIRTEL YAFANA DAR

Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakishindana kucheza muziki chini ya bomba la mvua wakati wa bonanza la siku ya familia ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakifurahia michezo katika bwawa la kuogelea la Hoteli ya Kunduchi Beach Wet in Wild, katika siku ya familia wa kampuni hiyo jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

SIKU YA WANAFAMILIA YA KAMPUNI YA AIRTEL TANZANIA YAFANA DAR

WITO umetolewa kwa wafanyakazi nchini kushiriki michezo kwani kwa
kufanya hivyo kutaweza kuimairisha afya zao hivyo kuongeza ufanisi
mahali pao pa kazi.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu za Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, Jane Matinde wakati wa
bonanza la kila mwaka la siku ya wanafamilia wa kampuni hiyo.
Bi Jane alisema michezo ni kichocheo muhimu katika afya ya mwili na
akili hivyo endapo wafanyakazi watashiriki katika shughuli za michezo
kutaifanya...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA UTAMADUNI LAFANA JAPAN

Mtanzania Jumanne akiwa na familia yake walipohudhuria tamasha la utamaduni lililofanyia kuanzia May 9 mpaka May 10 katika viwanja vilivyopo Machida, Tokyo nchini Japan na kushirikisha nchi mbalimbali kuonyesha tamaduni zao ikiwemo mavazi. vyakula na mambo mengine mengi yahusuyo utamaduni.Mtanzania Shaban akiwa na mama mwenye nyumba wake walipohudhuria maonesho hayo.Kikundi cha Tinga tinga toka Tanzania nao wakionyesha michoro yao.Moja ya familia ya Kitanzania ikihudhuria tamasha hilo.Wadau...

 

9 years ago

CCM Blog

TAMASHA LA KRISMAS LAFANA DAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiinua CD juu kama ishara ya uzinduzi wa album ya kundi la muziki wa kwaya la Wakorinto wa Pili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye Tamasha la Chrismas lililoandaliwa na kampuni ya Msama Promotions.
 Katika Tamasha hilo Mheshimiwa Nape alisema kuwa Serikali inatambua juhudi za Wasanii na kuahidi kila msanii atapata stahiki yake anayotakiwa kupata.
 Nape ambaye alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu ,alielezea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tamasha la "Together At Home" lafana sana Marekani

Mwanamuziki wa Marekani Lady Gaga afanikisha tamasha la Together At Home.

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUMUENZI MZEE KAWAWA LAFANA

 Wachezaji  Bao nguli hapa nchini wakioneshana ubingwa katika Tamasha la Kumuenzi aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati  Rashidi Mfaume Kawawa. Rais wa Chama cha Mchezo wa Bao mchini Bw Mandei Likwepa akionesha moja ya barua kwa waandishi wa habari hawapo pichani iliyo andika na aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati  Rashidi Mfaume Kawawa enzi za uhai wake.

 Mfanya biashara maarufu nchini Bw Mohamed Sharifu akiongea jambo mbele ya wanahabari, wapenzi na wachezaji wa mchezo wa Bao walioudhuria...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KUZINDUA VIDEO YA MUUNGANO LAFANA MJINI DODOMA

Msanii wa mziki alietokea EBSS, Menina na Rachael wakifatilia uzinduzi.
Mwanamziki wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (katikati) na Kapteni Komba (kulia).…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR

Mwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba jukwaani  kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas lililofanyika jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wengi kutoka nchi mbalimbali za afrika wakiwemo waimbaji wa Tanzania, Mwimbaji huyo Nguli wa muziki wa njili ameonyesha uzoefu mkubwa katika kuimba tofauti na waimbaji wengine waliotangulia ukiacha Ephraim Sekereti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani