Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama kunusuru soka Hispania

Mahakama nchi Hispania imepiga marufuku mgomo uliokuwa unaandaliwa na muungano wa soka ambao umepangwa kutekelezwa wiki hii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bale: Soka la Hispania linatisha

Winga wa Real Madrid, Gareth Bale amesifu kiwango cha juu cha ufundi cha uchezaji wa soka wa La Liga kulinganisha na England, ikiwa ni miezi sita tu tangu alipojiunga na vigogo hao wa Hispania.

 

5 years ago

Michuzi

Soka Linarejea Hispania na Meridianbet

 BAADA ya miezi mitatu mirefu – Hatimaye soka linarejea Hispania! Kila mechi ambayo itachezwa kule Hispania wakati ligi ikiendelea itaacha kwa ukimya wa dakika moja kuwakumbuka wahanga wote waliopoteza maisha yao kwenye janga la virusi vya corona, na pia hakutakuwa na mashabiki na masharti yote ya msingi ya afya yatazingatiwa.
Kuanzia wiki hii, mpira utadunda kwenye viwanja vya Hispania karibu kila siku, hivyo ni wakati muafaka wa kushiriki mchezoni na kujipatia pesa na ofa kabambe za...

 

10 years ago

Mwananchi

Marco Asensio kizazi kipya cha soka la Hispania

Ni wachezaji wachache ambao huwa wanapata nafasi ya kutokea katika ukurasa wa mbele wa gazeti la michezo la Marca nchini Hispania ambalo lina wasomaji wengi, lakini Marco Asencio (18) ametokea kwenye gazeti hilo kwa sababu ya kipaji cha hali ya juu cha kutandaza soka alichonacho.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO

Na Innocent Kansha- Mahakama  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa  njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu,  kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA AKIKAGUA UJENZI WA MAHAKAMA JUMUISHI

 Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru ( aliyenyoosha mkono) akikagua  leo ujenzi wa  jengo la Mahakama Jumuishi  la Utoaji Haki (IJC) lililopo eneo la Kihonda Wilaya ya Morogoro. Jengo hilo linajumuisha Mahakama Kuu,  Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama ya Wilaya zikiwemo ofisi za wadau wote wa Mahakama. Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (wa pili kulia) akizungumza leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loatha Sanare kuhusu ziara ya...

 

10 years ago

Michuzi

JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

BBCSwahili

Felicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa imeamuru mfanyabiashara huyo wa Rwanda ashtakiwe katika mahakama ya UN

Mahakama nchini Ufaransa imeagiza Félicien Kabuga ambaye anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda kufikishwa mbele ya mahakama maalum ya Umoja wa mataifa iliopo Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani