Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ni ya kibaguzi?

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ya mjini The Hague ilianza kazi zake karibu miaka 15 iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Maaskofu:Mahakama ya Kadhi ya Kibaguzi

alexmalasusaJUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF) limepinga muswada unaopendekeza kuanzishwa Mahakama ya Kadhi, likiitaka Serikali iuondoe bungeni kwa madai kuwa ni wa kibaguzi na upo kinyume na matakwa ya Katiba.
Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ya 2014, unapendekeza pamoja na mambo mengine, marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria za Kiislamu ya mwaka 1964.
Maaskofu na wajumbe wa jukwaa hilo walikutana Januari 20, mwaka huu jijini Dar es Salaam na kushauri Serikali iondoe muswada huo bungeni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya uhalifu kuanzishwa S.Kusini

AU Imesema mahakama maalumu itaundwa kwa ajili ya kuwashitaki washukiwa wa makosa ya uhalifu wa kivita nchini Sudani kusini

 

5 years ago

Habarileo

Kaniki: Polisi shirikianeni kuzuia uhalifu kimataifa

WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kusini mwa Afrika wametakiwa kuongeza ushirikiano katika kubadilishana taarifa za wahalifu na uhalifu unaovuka mipaka ili kuufanya Ukanda wa Kusini mwa Afrika kuwa salama.

 

10 years ago

Ykileo

MAREKANI YAJIUNGA NA MUUNGANIKO WA KIMATAIFA WA MAPAMBANO NDHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Maswala ya udukuzi yameendelea kushika kasi katika maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo mataifa mbali mbali yameamua kuunganisha nguvu ya pamoja kupambana na uhalifu mtandao. Katika "UCHAMBUZI" nilio uandikia nilibainisha umuhimu wa kupata chombo kimoja chenye jukumu la kupambana na uhalifu mtandao ambacho kitatoa nguvu kubwa ili kuweza kukabiliana na hali mbaya ya uhalifu mtandao hivi sasa.


Kundi jipya lenye makao yake barani ulaya linalounganisha pamoja nchi wanachama wa bara ulaya pamoja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za mapokezi ya Rais Uhuru Kenyatta alipowasili kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague

1619311_927273563967864_7566706705908247266_n

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akisalimiana na baadhi ya raia wa Kenya wanaoishi nchini Uholanzi kabla ya kuingia kwenye mahakama hiyo. (Picha kwa hisani ya ukurasa wa facebook ya Rais Uhuru Kenyatta).

Na Mwandishi wetu

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili mjini Hague nchini Uholanzi, kuhudhuria kikao kuhusu kesi inayomkabili ya kukochechea na kufadhili machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.

Kikao hicho kitafanyika Jumatano wiki hii, na kinakuja baada ya upande wa mashtaka...

 

9 years ago

Vijimambo

MARAIS WA MAHAKAMA ZA KIMATAIFA ZA MAUAJI YA KIMBARI WAMPONGEZA JK, TANZANIA KWA USHIRIKIANO

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mara baada ya Jaji Joesen na Meroe kuwasilisha taarifa zao, pamoja na kuwashukuru wa kuu hao, Balozi Manongi ametaka kuangaliwa kwa gharama za uendeshaji wa matawi Taasisi zinazochukua nafasi ya ICTR na ICTY kwa kudhibiti zile ambazo hazina tija ili kuleta ufanisi kwa Taasisi hizoRais wa Taasisi ya Kimataifa itakayotunza nyaraka na kumbukumbu zote muhimu za iliyokuwa ICTR Jaji Theodor Meron naye...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA’ 2015

 Muonekano wa Banda la Mahakama ya Tanzania likiwa katika Viwanja vya Julius Nyerere maarufu kama Viwanja vya Sabasaba, Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho haya lengo likiwa ni kutoa fursa kwa wananchi kupata elimu juu ya taratibu mbalimbali za Mahakama ikiwa ni pamoja na kutoa Malalamiko pamoja na kupokea maoni ya jinsi ya kuboresha huduma ya utoaji haki nchini. Banda la Mahakama lipo mkabala na Banda la Zanzibar ndani ya viwanja vya Sabasaba. Katika Maonesho ya mwaka huu,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MSAJILI WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA ILIYORITHI SHUGHULI ZA ICTR

Bw. John Hocking Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Msajili wa Mahakama ya Kimataifa (United Nations Mechanism for International Criminal Tribunals), iliyorithi shughuli za iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR).akimuonesha Mhe. Membe Ramani ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama hiyo itakayojengwa katika eneo la Lakilaki Jijini Arusha.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Bw. John Hocking...

 

10 years ago

CloudsFM

Mahakama ya Kimataifa ya ICC imeamua ktupilia mbali kesi ya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

Mwendeshaji mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya.


Katika Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo iliyopo nchini Uholanzi imesema kesi yake haikua na ushahidi wa kutosha wa Kenyatta kuhusika moja kwa moja na mauaji ya maelfu ya Wakenya wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Kenyatta alishtakiwa kama mshukiwa mkuu wa ghasia baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/2008...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani