MARAIS WA MAHAKAMA ZA KIMATAIFA ZA MAUAJI YA KIMBARI WAMPONGEZA JK, TANZANIA KWA USHIRIKIANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-TSQg3YdbcSM/Vh4QKMwpkHI/AAAAAAAEA-k/HDbsgNCuoSM/s72-c/FullSizeRender%2B%25281%2529%2B%25281%2529.jpg)
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mara baada ya Jaji Joesen na Meroe kuwasilisha taarifa zao, pamoja na kuwashukuru wa kuu hao, Balozi Manongi ametaka kuangaliwa kwa gharama za uendeshaji wa matawi Taasisi zinazochukua nafasi ya ICTR na ICTY kwa kudhibiti zile ambazo hazina tija ili kuleta ufanisi kwa Taasisi hizo
Rais wa Taasisi ya Kimataifa itakayotunza nyaraka na kumbukumbu zote muhimu za iliyokuwa ICTR Jaji Theodor Meron naye...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3GnsQAvS8Fc/VVyJ0rvk1SI/AAAAAAAHYiA/u3Eo6_MrYQI/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yatoa gari kwa jeshi la magereza arusha
![](http://2.bp.blogspot.com/-3GnsQAvS8Fc/VVyJ0rvk1SI/AAAAAAAHYiA/u3Eo6_MrYQI/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mahakama ya mauaji ya kimbari Rwanda yafungwa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9YTPB79eNT0/VBlsAAVgjdI/AAAAAAAGkDw/QxSzT-kFR1Q/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) Yatoa Msaada wa Kompyuta Arusha
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha
![3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/32.jpg)
![5](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/52.jpg)
![6](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/61.jpg)
![7](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/72.jpg)
![4](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/41.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-I-WjVGGEhr0/Xs-mmORmzMI/AAAAAAALr1o/BJwLH-e1T5ghuP9xhe988krrdhqjKU1MQCLcBGAsYHQ/s72-c/00220197_f1ba5b470768356c9679b1155a8d2716_arc614x376_w614_us1.jpg)
BAADA YA KUJIFICHA KWA MIAKA 26 NA KUKAMATWA KABUGA AKANA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIMBARI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MAUAJI ya Kimbari ya mwaka 1994 ambayo yanaelezwa kuwa ni mpango uliotekelezwa na baadhi ya watu na kuuwa maelfu ya watu wa kabila la Watutsi nchini Rwanda, mmoja ya watekelezaji wa tukio hilo Felician Kabuga aliyekamatwa baada ya miaka 26 tangu kutokea kwa tukio hilo ameieleza mahakama inayomshikilia nchini Ufaransa kuwa wampe dhamana wakati akisubiri ni wapi kesi yake itasikilizwa aidha Ufaransa alipokamatwa au nyumbani anakodaiwa kutekeleza mauaji...
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA TANZANIA WAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA KWA AJILI YA HOSPITALI NANE ZINAZOLAZA WAGONJWA UNGUJA NA PEMBA.
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Mahakama ya Kimbari yafungwa
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
Makovu ya mauaji ya Kimbari Rwanda
11 years ago
BBCSwahili09 Apr