Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA CORONA

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Hatua zinazochukuliwa na Mahakama ya Tanzania katika kuunga mkonojuhudi za Serikali katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona.

Baadhi ya Viongozi wa Mahakama ya Tanzania walioambatana na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Tehama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Nchi zinazoongozwa na wanawake wametumia mikakati gani kukabiliana na janga hili?

Baadhi ya mikakati inayotumiwa na wanawake kukabiliana na janga la corona kwa nchi zinazoongozwa na wanawake

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM Lindi yakutana kuweka mikakati mizuri

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akitoa salaam za pongezi kwa wananchi wa kijiji cha Kilangala B kata ya Kilangala  kwa kuipa ushindi CCM kwenye uchaguzi serikaliza mitaa uliofanyika desemba 2014, Katika mkutano huo Nape aliwaeleza wananchi hao CCM ndio chama pekee kinachotoa majibu kwa matatizo ya wananchi.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti  aliyeshinda uchaguzi Hamid Rashid Namtonda akitoa salaam za kushukuru wakazi wa kijiji cha...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati ya kupunguza athari zitokanazo na majanga hasili.

Serikali imeshauriwa kuweka mikakati mahsusi ya kuwekeza kwenye Sayansi ili kupunguza kasi ya ongezeko la majanga ya asili duniani yakiwemo mafuriko, ukame na vimbunga yanayoweza kuleta athari kubwa kwa nchi zinazoendelea.

Maadhimisho ya siku ya sayansi duniani yanayofanyika Novemba 10 kila mwaka, yanakwenda sanjari na uzinduzi wa toleo jipya lenye dhana muhimu ya Sayansi Duniani kwa amani na maendeleo, likiwa na maana ya kuonyesha mwelekeo wa sayansi, teknolojia na maendeleo kwa kila...

 

5 years ago

Michuzi

TTB YAKUTANA NA MABALOZI KUWEKA MIKAKATI YA KUTANGAZA UTALII, UKANDA WA ASIA, AUSTRALASIA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB, Jaji Thomasi Mihayo (katikati), Mkurugenzi Mwendeshajiwa TTB, Devota Mdachi pamoja na Bw. Caesar Waitara wa Wizara ya Mambo ya Nje wakiwa ndani ya chumba cha mkutano katika ofisi za TTB. Baadhi ya wafanyakazi wa TTB wanaosimamia masoko ya utalii ya ukanda wa Asia na Australasia wakifuatilia mazungumzo wakati wa mkutano.
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi zilizopo kanda ya Asia na...

 

11 years ago

Michuzi

Wataalamu wa kilimo wilayani Handeni kukutana kuweka mikakati ya mazao mapya yatakayofaa kwa biashara

Na Mohammed Mhina, HandeniWataalamu wa kilimo wilayani Handeni katika mkoa wa Tanga, kesho watakutana kuweka mezani mapendekezo ya mazao mapya yatakayofaa kwa biashara kwa lengo la kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja wilayani humo.  Mkuu wa wilaya hiyo Bw. Muhingo Rweyemamu, amesema leo kuwa katika mkutano huo, wataalamu hao watapitia itifaki mbalimbali zilizofikiwa na kuanisha zao mbadala kwa biashara kati ya korosho na ufututa ama yote mawili badala ya kutegemea mahindi pekee kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je magari yenye huduma za 'kukabiliana' na corona China ni 'njama'?

Watengenezaji magari nchini China wanaangazia wasiwasi wa kiafya kupitia uzinduzi wa magari ambayo yana huduma za kukabiliana na virusi vya virusi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona

Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona

Hatua ya Afrika Kusini kupiga marufuku mikusanyiko mikubwa ya watu mazishini imesaidia kuvumbuliwa tenda kwa tamaduni za jadi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani