Mahakama yazuia kufanyika kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ jumamosi hii, limekiuka sheria za haki miliki
Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam imezuia kufanyika kwa tamasha lililopewa jina ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii.
Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la aina hiyo liitwalo Dar es Salaam Bear Fest.
Kwa hali hiyo mahakama hiyo imetoa amri ya kusitishwa mara moja kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa lifanyike October 4 kwenye viwanja vya Posta...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: MAHAKAMA YAZUIA KUFANYIKA KWA ‘BANG BANG BEAR FEST’ JUMAMOSI HII, LIMEKIUKA SHERIA ZA HAKI MILIKI
Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la aina hiyo liitwalo Dar es Salaam Bear Fest.
Kwa hali hiyo mahakama hiyo imetoa amri ya kusitishwa mara moja kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa lifanyike October 4 kwenye viwanja vya Posta...
5 years ago
The Next Web03 Mar
New research sheds light on the big bang that was bigger than the Big Bang
10 years ago
MichuziMahakama nchini spain yazuia mgomo wa wachezaji uliopangwa kufanyika kuanzia Jumamosi
Mahakama nchi Spain imeamuru mgomo wa wachezaji nyota nchi hiyo uliopangwa kufanyika Jumamosi wakipinga sharia mpya ya haki za mapato kwenye TV, hivyo ndio kusema fainali timu ya Barcelona itaweka msumali wake wa mwisho wa La Liga dhidi ya Atletico Madrid siku ya Jumapili.
Mahakama hiyo ya National Court imesema katika uamuzi wake leo kwamba kuruhusu mgomo huo uendelee kutazuia kumalizika kwa michuano ya ubingwa ya nchi hiyo na pia kusababisha mvurugano mkubwa wa...
9 years ago
Bongo506 Nov
P-Funk adai hawezi kurudi studio hadi sheria ya haki miliki ikae sawa
Mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa Bongo Records, P-Funk Majani amesema hawezi kurudi kuendelea kutengeneza muziki kama zamani hadi sheria ya haki miliki na haki shirikishi ikae vizuri.
Majani ameiambia Bongo5 kuwa anahitaji sheria ili watu wanaofanya kazi za sanaa waweze kunufaika na kazi zao.
“Sasa hivi mimi focus yangu imetoka kwenye muziki, najaribu kuweka sheria ya muziki ikae vizuri kwanza. Mambo ya haki miliki na nini vikae vizuri ndio msimamo wangu uliopo sasa hivi,” amesema...
9 years ago
TheCitizen23 Oct
CCM to end campaign ‘with a bang’
10 years ago
Dewji Blog25 May
Miaka kumi na moja ya jarida la BANG!
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akipozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuongea na wanahabari kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment,...
11 years ago
TheCitizen30 May
Kili tour kicks off with a bang in Moshi
5 years ago
The Citizen Daily19 Feb
9 years ago
TheCitizen24 Oct
Poll campaigns set to end with a bang