P-Funk adai hawezi kurudi studio hadi sheria ya haki miliki ikae sawa
Mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa Bongo Records, P-Funk Majani amesema hawezi kurudi kuendelea kutengeneza muziki kama zamani hadi sheria ya haki miliki na haki shirikishi ikae vizuri.
Majani ameiambia Bongo5 kuwa anahitaji sheria ili watu wanaofanya kazi za sanaa waweze kunufaika na kazi zao.
“Sasa hivi mimi focus yangu imetoka kwenye muziki, najaribu kuweka sheria ya muziki ikae vizuri kwanza. Mambo ya haki miliki na nini vikae vizuri ndio msimamo wangu uliopo sasa hivi,” amesema...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog04 Oct
Mahakama yazuia kufanyika kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ jumamosi hii, limekiuka sheria za haki miliki
Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam imezuia kufanyika kwa tamasha lililopewa jina ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii.
Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la aina hiyo liitwalo Dar es Salaam Bear Fest.
Kwa hali hiyo mahakama hiyo imetoa amri ya kusitishwa mara moja kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa lifanyike October 4 kwenye viwanja vya Posta...
11 years ago
Michuzi.jpg)
NEWS ALERT: MAHAKAMA YAZUIA KUFANYIKA KWA ‘BANG BANG BEAR FEST’ JUMAMOSI HII, LIMEKIUKA SHERIA ZA HAKI MILIKI
Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la aina hiyo liitwalo Dar es Salaam Bear Fest.
Kwa hali hiyo mahakama hiyo imetoa amri ya kusitishwa mara moja kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa lifanyike October 4 kwenye viwanja vya Posta...
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Sheria ya uchaguzi, haki ya mpigakura hadi Oktoba 25
9 years ago
Bongo517 Nov
P-Funk adai ‘CMEA’ itahakikisha wasanii wananufaika na kazi zao

Kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) imesema kasi mpya ya Rais Dk John Pombe Magufuli inaonesha matumaini mapya kwa wasanii.
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni mkurugenzi mkuu wa CMEA, Paul Matthysse aka P-Funk alisema sheria za haki miliki zipo vizuri lakini tatizo ni utekelezaji.
“Sisi tunaimani sana na Rais mpya kwa kasi aliyoanza nayo. Tatizo lililopo siyo sheria tatizo ni utekelezaji. Mimi kama CEO wa CMEA niko mstari wa mbele...
10 years ago
Vijimambo
K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design

Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu.
K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.“Nimejifunza kuwa mvumilivu, nimejifunza upendo ambao sijawahi kujisikia kabla. Jinsi unavyompenda mtoto ni tofauti ambavyo unaweza kumpenda mtu yoyote yule katika maisha yako,” alisema.
Katika hatua nyingine Miss Tanzania huyo wa...
10 years ago
Bongo528 Sep
Jux adai hawezi kufanya show za kampeni za kisiasa
10 years ago
Bongo522 Oct
Jay Z ashinda kesi ya haki miliki ya hit yake ‘Big Pimpin’
11 years ago
Bongo507 Oct
Diamond na Yemi Alade wasaini na MCSK (chama cha haki miliki Kenya)
10 years ago
Bongo517 Sep
Godzilla adai hawezi kuuza utu wake kwa show siasa