Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jay Z ashinda kesi ya haki miliki ya hit yake ‘Big Pimpin’

Rapper Sean “Jay Z” Carter ameshinda kesi ya haki miliki ya wimbo wake wa mwaka 1999 ‘Big Pimpin’ iliyokuwa ikiwakabili yeye na Timberland ambaye ndiye producer wa wimbo huo. Kesi hiyo ilifunguliwa na Osama Ahmed Fahmy ambaye ni binamu wa Baligh Hamdi wa Misri ambaye vionjo vya wimbo wake wa 1957, ‘Khosara khosara’ vilitumika kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Jay Z aingia kortini kutoa ushahidi wa kesi ya haki miliki ya hit yake Big Pimpin

Jay Z ameamua kuwa mpole na kukubali kuingia mahakamani kutoa ushahidi jijini Los Angeles Jumatano hii kwenye kesi inayomkabili ya kukiuka masuala ya haki miliki kufuatia wimbo wake wa mwaka 1999, Big Pimpin. Jay Z ambaye jina lake halisi ni Sean Carter na Timbaland, aliyetayarisha wimbo huo walidaiwa kutumia vionjo kutoka kwenye wimbo wa Baligh […]

 

9 years ago

BBC

Jay Z cleared over Big Pimpin' case

Jay Z and Timbaland are cleared of copyright infringement of an Egyptian track over the 1999 single Big Pimpin'.

 

11 years ago

GPL

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wa ke na Kamati Kuu ya…

 

10 years ago

GPL

SINGANO ASHINDA KESI YA KIMKATABA KATI YAKE NA SIMB

Ramadhani Singano 'Messi' . TFF imemtangaza mchezaji Ramadhani Singano 'Messi' kuwa mchezaji huru kwa madai kuwa Simba ilikiuka masharti na hivyo kusababisha mkataba huo kuvunjika.

 

10 years ago

Bongo5

Rihanna ashinda kesi dhidi ya duka la Uingereza lililokuwa likiuza T-shirt zenye picha yake

Rihanna ameshinda kesi yake dhidi ya duka kubwa la Topshop la nchini Uingereza lililokuwa likiuza T-shirts zenye picha yake. Mahakama ya rufaa ya jijini London imetoa katazo la kuuzwa kwa T-shirts hizo zilizokuwa zikiuzwa bila ridhaa ya Rihanna. Staa huyo aliishtaki kampuni mama ya Topshop, Arcadia kwa kudai fidia ya dola milioni tano mwaka 2013 […]

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Johnson LukazaMwesigwa Lukaza 

Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....

 

10 years ago

Bongo5

Diamond na Yemi Alade wasaini na MCSK (chama cha haki miliki Kenya)

Diamond Platnumz na muimbaji wa Nigeria, Yemi Alade wamesaini mkataba na chama cha haki miliki cha Kenya, MCSK. Wawili hao walikuwa nchini Kenya mwezi uliopita kurekodi kipindi Coke Studio Africa msimu wa pili. “Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi,” alisema CEO wa MCSK, […]

 

9 years ago

Bongo5

P-Funk adai hawezi kurudi studio hadi sheria ya haki miliki ikae sawa

10725062_844274638950672_53630798_n

Mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa Bongo Records, P-Funk Majani amesema hawezi kurudi kuendelea kutengeneza muziki kama zamani hadi sheria ya haki miliki na haki shirikishi ikae vizuri.

10725062_844274638950672_53630798_n

Majani ameiambia Bongo5 kuwa anahitaji sheria ili watu wanaofanya kazi za sanaa waweze kunufaika na kazi zao.

“Sasa hivi mimi focus yangu imetoka kwenye muziki, najaribu kuweka sheria ya muziki ikae vizuri kwanza. Mambo ya haki miliki na nini vikae vizuri ndio msimamo wangu uliopo sasa hivi,” amesema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Profesa Jay ashinda kiti cha ubunge TZ

Msanii wa Bongo Joseph Haule maarufu kwa jina 'Profesa Jay' ndiye msanii wa hivi karibuni kuwahi kushinda kiti cha ubunge nchini Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani