Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahari yapigwa marufuku Tororo Uganda

Wilaya ya Tororo imepiga marufuku utoaji wa Mahari ikisema inadhalilisha mwanamke

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Utamaduni wa kurejesha mahari marufuku Uganda

Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imesema kuwa utamaduni wa kurejesha mahari baada ya talaka unakiuka katiba.

 

9 years ago

Mtanzania

Mita 200 yapigwa marufuku

Pg 4 oct 24Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetamka bayana kwamba hairuhusiwi watu kukutana mahali popote bila kujali umbali wake siku ya uchaguzi kesho.

Uamuzi huo ulitolewa na jopo la majaji watatu waliokuwa wakisikiliza mvutano wa kisheria kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.

Mwenyekiti wa jopo hilo, Sekieti Kihiyo na Jaji Lugano Mwandambo kwa nyakati tofauti walipokuwa wakisoma uamuzi huo, walisema wamezingatia hoja zilizowasilishwa na pande mbili...

 

9 years ago

Habarileo

Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku

POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Morocco yapigwa marufuku na CAF

Morocco imepigwa marufuku kushiriki katika michuano miwili ya kombe la Afrika baada ya kushindwa kuandaa michuano ya mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.

Imeelezwa kuwa Maandamano hayo  yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa  pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa  wa CHADEMA  kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia:Zimbabwe yapigwa marufuku

Zimbabwe imepigwa marufuku kushiriki katika mechi za kufuzu kwa kombe la dunia la mwaka 2018

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yapigwa marufuku kushiriki riadha

Urusi imeondolewa kwa muda kutoka kwa mashindano ya kimataifa, baada ya kutuhumiwa kuhusika katika matumizi ya dawa za kutitimua misuli.

 

9 years ago

Habarileo

Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku

SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.

 

10 years ago

Mwananchi

Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku

Licha ya Jumuiya ya vijana wa Chama cha Wananchi (CUF) kusisitiza azma yao ya kuandamana leo, polisi imepiga marufuku maandamano hayo na kusema halitosita kutumia nguvu endapo vijana wa chama hicho watakaidi amri ya kutoandamana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani