Urusi yapigwa marufuku kushiriki riadha
Urusi imeondolewa kwa muda kutoka kwa mashindano ya kimataifa, baada ya kutuhumiwa kuhusika katika matumizi ya dawa za kutitimua misuli.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
HYAC kushiriki riadha Mapinduzi Zanzibar
CHAMA cha Riadha Zanzibar (ZAAA), kimeialika Klabu ya Riadha ya Holili (HYAC), yenye maskani yake Rombo, mkoani Kilimanjaro, kushiriki michezo ya maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya visiwa hivyo....
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Veronica kushiriki riadha mwaka huu
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Urusi yasema yapigwa vita vya maneno
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku
9 years ago
Habarileo03 Nov
Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku
POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.
9 years ago
Mtanzania24 Oct
Mita 200 yapigwa marufuku
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetamka bayana kwamba hairuhusiwi watu kukutana mahali popote bila kujali umbali wake siku ya uchaguzi kesho.
Uamuzi huo ulitolewa na jopo la majaji watatu waliokuwa wakisikiliza mvutano wa kisheria kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.
Mwenyekiti wa jopo hilo, Sekieti Kihiyo na Jaji Lugano Mwandambo kwa nyakati tofauti walipokuwa wakisoma uamuzi huo, walisema wamezingatia hoja zilizowasilishwa na pande mbili...
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Morocco yapigwa marufuku na CAF
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Mahari yapigwa marufuku Tororo Uganda