Mahiza kuwachongea Ma DC
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amesema endapo wakuu wa wilaya za mkoa huo hawataleta mpango mkakati kuhusiana na ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari hadi ifikapo Februari...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
RC Mahiza aiangukia TCRA
MKUU wa Mkoa (RC) wa Pwani, Mwantumu Mahiza, ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwasiliana na wamiliki wa vyombo vya habari, hasa luninga, ili kuweka mkalimani wa lugha ya alama...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mahiza aipa somo Ewura
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutafuta namna ya kuwasaidia wananchi wenye uwezo mdogo ambao hawana uwezo wa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Mahiza: Nitazishughulikia asasi za mifukoni
“OLE wao watakaogundulika wanatumia asasi zisizo za kiserikali kama sehemu ya kujipatia mitaji na kutumia fedha kinyume cha malengo ya maombi,” hiyo ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani,...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Mahiza azishukia asasi za ukimwi
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, amesema anashangazwa na uwepo wa asasi nyingi zinazotoa elimu namna ya kuepuka maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi huku takwimu za maambukizi zikiendelea...
10 years ago
Daily News27 Sep
Do not exploit orphans, warns RC Mahiza
Daily News
Daily News
COAST Regional Commissioner (RC), Ms Mwantumu Mahiza, has warned Non- Governmental Organisations (NGOs) in the region against using orphans to source for money from donors, saying that those who will be caught will be punished according to the ...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Mahiza awaonya watendaji Mkuranga
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amewaonya madiwani na watendaji wa Wilaya ya Mkuranga ambao watashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao ikiwa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mahiza awaonya wafugaji kuibiana
MKUU wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza amewaonya wafugaji mkoani hapa kuwapatia vijana wao ng’ombe wawapeleke malishoni kutokana na kuwepo kwa wimbi la kuibiana mifugo. Mahiza alitoa wito huo juzi...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Wakazi Tondoroni wamkana Mahiza
HALI ya sintofahamu imetawala kwa wakazi wa Kijiji cha Tondoroni, Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani kutokana na mgogoro wa muda mrefu kati yao na kambi ya jeshi iliyopo Kiluvya huku...
11 years ago
Mwananchi19 May
Gari la wagonjwa lamtia matatani RC Mahiza