Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Tondoroni wamkana Mahiza

HALI ya sintofahamu imetawala kwa wakazi wa Kijiji cha Tondoroni, Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani kutokana na mgogoro wa muda mrefu kati yao na kambi ya jeshi iliyopo Kiluvya huku...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi wamkana Lowassa


NA  WAANDISHI WETUVIONGOZI wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini  Dodoma, wamekanusha kumchangia fedha na kumwomba Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kugombea urais. Pia wamewataka wanafunzi wenzao kujitambua na kutumia muda wao kwa mambo ya msingi kwa ustawi wao na taifa, badala ya kujingiiza katika mambo ya siasa za aina hiyo.Taarifa iliyotumwa na Uongozi wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma, ilisema kundi lilijikusanya Machi 22, mwaka huu, nyumbani kwa...

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ LAFAFANUA MGOGORO WA ARDHI TONDORONI WILAYANI KISARAWE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahiza kuwachongea Ma DC

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amesema endapo wakuu wa wilaya za mkoa huo hawataleta mpango mkakati kuhusiana na ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari hadi ifikapo Februari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Mahiza aiangukia TCRA

MKUU wa Mkoa (RC) wa Pwani, Mwantumu Mahiza, ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwasiliana na wamiliki wa vyombo vya habari, hasa luninga, ili kuweka mkalimani wa lugha ya alama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahiza awaonya watendaji Mkuranga

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amewaonya madiwani na watendaji wa Wilaya ya Mkuranga ambao watashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao ikiwa...

 

10 years ago

Daily News

Do not exploit orphans, warns RC Mahiza


Daily News
Do not exploit orphans, warns RC Mahiza
Daily News
COAST Regional Commissioner (RC), Ms Mwantumu Mahiza, has warned Non- Governmental Organisations (NGOs) in the region against using orphans to source for money from donors, saying that those who will be caught will be punished according to the ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahiza: Nitazishughulikia asasi za mifukoni

“OLE wao watakaogundulika wanatumia asasi zisizo za kiserikali kama sehemu ya kujipatia mitaji na kutumia fedha kinyume cha malengo ya maombi,” hiyo ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahiza aipa somo Ewura

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutafuta namna ya kuwasaidia wananchi wenye uwezo mdogo ambao hawana uwezo wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahiza awaonya wafugaji kuibiana

MKUU wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza amewaonya wafugaji mkoani hapa kuwapatia vijana wao ng’ombe wawapeleke malishoni kutokana na kuwepo kwa  wimbi la kuibiana mifugo. Mahiza alitoa wito huo juzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani