Wanafunzi wamkana Lowassa
NA WAANDISHI WETUVIONGOZI wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini Dodoma, wamekanusha kumchangia fedha na kumwomba Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kugombea urais. Pia wamewataka wanafunzi wenzao kujitambua na kutumia muda wao kwa mambo ya msingi kwa ustawi wao na taifa, badala ya kujingiiza katika mambo ya siasa za aina hiyo.Taarifa iliyotumwa na Uongozi wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma, ilisema kundi lilijikusanya Machi 22, mwaka huu, nyumbani kwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Wakazi Tondoroni wamkana Mahiza
HALI ya sintofahamu imetawala kwa wakazi wa Kijiji cha Tondoroni, Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani kutokana na mgogoro wa muda mrefu kati yao na kambi ya jeshi iliyopo Kiluvya huku...
9 years ago
Mtanzania07 Oct
Lowassa ataka NEC imalize utata wa wanafunzi
NA FREDY AZZAH, MWANGA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumaliza utata wa wapi wanafunzi wa vyuo vikuu watapigia kura kwa vile hiyo ni haki yao ya msingi.
Kwa sasa kuna utata kama wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi wako likizo wataruhusiwa kupigia kura popote walipo au mpaka warudi vyuoni walikojiandikishia.
“Naomba NEC itafakari upya suala hili, ihakikishe wanafunzi wanapiga kura kwa kuwa ni haki yao ya...
10 years ago
Habarileo23 Dec
Lowassa: Walimu Monduli wahojiwe wanafunzi kufeli
ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewaagiza viongozi wa vijiji vyote vya wilaya ya Monduli mkoani Arusha kuitisha mkutano mkuu wa kijiji na kuwahoji walimu, madiwani na maofisa elimu juu ya kufanya vibaya kwa matokeo ya darasa la saba katika wilaya hiyo.
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Lowassa: Mapato ya gesi yatasomesha wanafunzi bure
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Wanafunzi Mwanza wamtaka Lowassa achukue fomu
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
WANAFUNZI wa vyuo vya elimu ya juu mkoani Mwanza, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, achukue fomu ya kuwania urais ndani ya CCM muda utakapofika.
Wamesema kutokana na uchapakazi wa kiongozi huyo wamelazimika kutoa tamko lao kwa umma la kumwomba mbunge huyo wa Monduli asikilize kilio chao cha kuwania urais baada ya kutangazwa utaratibu na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wanafunzi hao wa vyuo vya Mtakatifu Augustino (SAUT), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)...
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Serikali ya wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM-SO) yakanusha kumpigia debe Lowassa
Rais wa Serikali ya Wanafunzi IFM-SO, Clinton Boniface.
Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu Clinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHE toleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari “WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizo hazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowote uliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7d208KxBnPM/VOMXylpleqI/AAAAAAAHEJE/j1o1gvx-s6g/s72-c/unnamed%2B%286%29.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7d208KxBnPM/VOMXylpleqI/AAAAAAAHEJE/j1o1gvx-s6g/s1600/unnamed%2B%286%29.jpg)
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.
![](http://3.bp.blogspot.com/-aML6rKdYyVk/VOMXyAIZMII/AAAAAAAHEI8/amgUR-5jNcM/s640/unnamed%2B%285%29.jpg)
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”
![](http://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/polepole.jpg?resize=702%2C702)
HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO
![](http://i2.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/Msigwa.jpg?resize=595%2C300)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...