Lowassa ataka NEC imalize utata wa wanafunzi
NA FREDY AZZAH, MWANGA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumaliza utata wa wapi wanafunzi wa vyuo vikuu watapigia kura kwa vile hiyo ni haki yao ya msingi.
Kwa sasa kuna utata kama wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi wako likizo wataruhusiwa kupigia kura popote walipo au mpaka warudi vyuoni walikojiandikishia.
“Naomba NEC itafakari upya suala hili, ihakikishe wanafunzi wanapiga kura kwa kuwa ni haki yao ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
NEC yazidisha utata zabuni ya BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imezidi kuibua utata kuhusiana na gharama halisi za kupata mzabuni wa kuboresha daftari la kudumu la kupigia kura kwa njia ya kielektroniki, (BVR),...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015
UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Utata kwa Lowassa
SIKU tatu baada ya kundi la madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Wilaya ya Monduli mkoani Arusha kutangaza kuhama chama hicho na kujiunga Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baadhi yao wamerejea na kuchukua fomu za kugombea udiwani katika kata zao.
Hali hiyo imeendelea kuleta utata mkubwa ndani ya chama hicho, mkoani Arusha kutokana na kutofahamika msimamo wa viongozi na makada maarufu wa chama hicho kuhusu kuhamia upinzani au kubaki ndani ya chama hicho.
Tangu...
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Makamba ataka NEC iwe wazi
10 years ago
Mwananchi22 Jul
NEC yatakiwa kutowabania wanafunzi, mahabusi
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Serikali imalize migogoro yake na wafanyabiashara
9 years ago
Vijimambo28 Oct
Nec yamjibu Lowassa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Jaji-28Oct2015.jpg)
Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva (pichani), alitoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam jana baada ya kutangaza matokeo ya urais katika majimbo 35.
Jaji Lubuva alisema madai yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa wanatangaza matokeo ya maeneo ambayo Chama Cha Mapinduzi kimeshinda ili kuaminisha umma kuwa ni...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mbunge ataka sheria kuwabana wanaowapa mimba wanafunzi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Christowaja Mtinda (CHADEMA), ameitaka serikali kuja na sheria nyingine itakayowabana wanaume wanaowapa mimba wanafunzi. Akiuliza swali bungeni jana, alisema sheria ya sasa haina meno na kwamba...
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Serikali imalize mzozo wa Tunduma kwa amani