Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata kwa Lowassa

SIKU tatu baada ya kundi la madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Wilaya ya Monduli mkoani Arusha kutangaza kuhama chama hicho na kujiunga Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baadhi yao wamerejea na kuchukua fomu za kugombea udiwani katika kata zao.

Hali hiyo imeendelea kuleta utata mkubwa ndani ya chama hicho, mkoani Arusha kutokana na kutofahamika msimamo wa viongozi na makada maarufu wa chama hicho kuhusu kuhamia upinzani au kubaki ndani ya chama hicho.

Tangu...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa ataka NEC imalize utata wa wanafunzi

mtanzania kila siku grace kenethd.inddNA FREDY AZZAH, MWANGA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumaliza utata wa wapi wanafunzi wa vyuo vikuu watapigia kura kwa vile hiyo ni haki yao ya msingi.

Kwa sasa kuna utata kama wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi wako likizo wataruhusiwa kupigia kura popote walipo au mpaka warudi vyuoni walikojiandikishia.

“Naomba NEC itafakari upya suala hili, ihakikishe wanafunzi wanapiga kura kwa kuwa ni haki yao ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utata wa Serikali kwa IPTL

WAKATI Harbinder Sing Sethi, anadai alinunua asilimia 70 ya hisa za Mechmar kwa kiasi cha sh. milioni 500 ($300,000) ndani ya wiki tatu tu tangu hisa hizo kuuzwa kwa kampuni...

 

11 years ago

GPL

UTATA WAZIDI KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea MH370.
Machi 8, mwaka huu dunia ilisikia vilio vingi kutoka Beijing, China na Kuala Lumpur, Malaysia. Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika viwanja vya ndege wakiwalilia ndugu zao waliopotea kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia, Malaysia Airlines. Baadhi ya ndugu wa abiria waliopotea na ndege MH370. Ilikuwa hivi; ndege hiyo iliyokuwa ikifanya safari namba Flight… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkimbizi afariki kwa ugonjwa wenye utata

Raia mmoja wa Burundi aliyekuwa akiishi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana kwa ugonjwa ambao haujajulikana.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata Kura ya Maoni uangaliwe kwa makini

Juzi viongozi wa vyama vya upinzani walikuwa na kikao cha pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kujadili mchakato wa Kura ya Maoni, ambayo imetangazwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa itafanyika Aprili 30.

 

10 years ago

Mwananchi

UTATA: Jalada la kesi ladaiwa kuibiwa kwa msajili

>Uzembe unadaiwa kufanywa Mahakama Kuu, Kanda ya Moshi, baada ya jalada moja la kesi kudaiwa kuibwa katika mazingira tata kutoka ofisi ya msajili wa wilaya.

 

10 years ago

GPL

GARI LA BOZI KWA ALLY NIPISHE LAZUA UTATA

Mayasa mariwata
GARI aina ya Toyota IST lenye thamani ya shilingi milioni 13 alilotaka kulitoa bure msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ kwenda kwa msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu `Ally Nipishe’ limezua utata kila kona ya jiji. Amani linamwaga ubuyu. Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Tangu taarifa hizo zienee, wadau mbalimbali wa muziki na filamu wamekuwa njia panda huku wengine...

 

10 years ago

Mwananchi

Kufunguliwa kwa Soko Kuu Moshi kwazua utata

Meya wa Mji wa Moshi, Jaffar Michael amesema kufungwa kwa Soko Kuu la Kati mjini Moshi na kufunguliwa kwa amri ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ni sinema ya kisiasa.

 

9 years ago

Mtanzania

Pia atwaa taji la Miss Universe kwa utata

piaLOS VEGAS, MAREKANI MREMBO kutoka nchini Ufilipino, Pia Wurtzbach, amefanikiwa kutwaa taji la Miss Universe Pageant, baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka nchini Colombia, Ariadna Arevalo, kwa utatanishi. Katika hafla hiyo ambayo ilifanyika kwenye ukumbi wa Planet Hollywood Resort, nchini Marekani, iliwaacha watu midomo wazi baada ya mtangazaji, Steve Harvey, kufanya makosa wakati wa kumtangaza mshindi wa taji hilo. Harvey alijikuta akilitaja jina la mrembo kutoka nchini Colombia, Ariadna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani