Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba ataka NEC iwe wazi

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kuwa wazi kuanzia hatua ya kujiandikisha kupiga kura ili kuepuka malalamiko dhidi ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani.  Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Sera ya gesi iwe wazi kwa wananchi’

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amewataka wajumbe kutoka taasisi mbalimbali kuwa wawazi kwa wananchi katika utungaji wa sera ya upatikanaji wa gesi asilia na petroli. Prof....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mipaka ya mkataba Azam Tv, Bodi ya Ligi iwe wazi

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ulianza rasmi juzi kwa mechi nne kwenye viwanja vya Taifa na Azam Complex, Dar es Salaam, Mkwakwani, Tanga na Kaitaba,...

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu ataka michezo iwe kitega uchumi

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) na Waziri Kivuli wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema ili michezo nchini ifanikiwe ni lazima igeuzwe kuwa kitega uchumi kwa taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ataka jinsia iwe moja ya Tunu za Taifa

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Lediana Mng’ong’o ametaka kipengele cha jinsia kiwe mojawapo ya Tunu za Taifa katika Katiba mpya.

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif ataka Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ipo haja kwa Zanzibar kuwa na chombo chake cha maamuzi ya fedha kitakachoratibu moja kwa moja mwenendo wa uchumi wa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAKA VITA DHIDI YA UJANGILI IWE YA PAMOJA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na zilizo Kusini mwa Ikweta.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jioni (Jumamosi, Novemba 8, 2014) mara baada ya kufunga mkutano wa kikanda wa siku mbili uliojadili mbinu za kupambana na biashara haramu ya wanyamapori ulioandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Arusha,...

 

5 years ago

Michuzi

NEC YAWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI, ARUSHA

Na Ashura Mohamed -Arusha

Tume ya taifa  ya  Uchaguzi (NEC) kupitia Ofisi ya Afisa Mwandikishaji  ambae ni  Mkurugenzi wa Halmashauri ya  Jiji la Arusha imesema kuwa itaweka wazi Daftari la Awali la  Wapiga Kura kwa siku nne mfululizo.

Akizungumza na waandishi wa  habari  jijini Arusha pamoja na wawakilishi wa Vyama vya Siasa mkoani Arusha,Afisa Uandikishaji  Msaidizi  wa Jiji hilo,Misena Bina,alisema  daftari litakuwa wazi kuanzia  June 17-20, katika vituo vilivyotumika awali wakati  wa...

 

9 years ago

Michuzi

VYOMBO HABARI VIMECHANGIA KUFANYA UCHAGUZI KUWA WAZI NA HAKI NA HURU —NEC

Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani