Mahojiano na Zahir Ally Zorro kuhusu kifo cha mwanamuziki BanzaStone

Photo Credits: Bongo5.comKatika kipindi cha MISHUMAA YA KALE (bofya hapa kukifuatilia) cha Julai 17, 2015, tulipata fursa ya kipekee kuzungumza na msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Zahir Ally Zorro, kuzungumzia kuhusu maisha na kifo cha msanii mwenzake Ramadhan Masanja, maarufu kama BanzaStone
Msikilize
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo04 Feb
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
BASATA YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWANAMUZIKI MKONGWE SHEM KALENGA

National Arts Council BASATA

Yah: Salaam za RambirambiBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Shem Ibrahim Kalenga ambaye mchango wake katika muziki wa Dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Rambirambi kwa kifo cha mke wa mwanamuziki John Kitime na Baba yake msanii Dully Sykes
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014.
Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye...
10 years ago
Michuzi
BASATA YATOA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MKE WA MWANAMUZIKI JOHN KITIME NA BABA YAKE MSANII DULLY SYKES

Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye tasnia...
11 years ago
Michuzi07 Jun