MAIMARTHA AMKANA MGANGA WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thImw1Ez0yQHxogadl***QhF5xsdBkOKf50gkABQd2YWwHimTx-t2TuKJvnzbOrl0IslfqQaddwP9VOUp70z0CC/MAIMATHA.jpg)
HUYU ANAOMBA USHOSTI Maimartha wewe ni mtangazaji mzuri wa Bongo, naomba uwe shosti wangu wa kubadilishana mawazo. Salim Liundi, Dar, 0659601205 MAIMARTHA: Asante, kuhusu kuwa shosti, karibu sana hamna shida. Mtangazaji nguli katika tasnia ya utangazaji, Maimartha wa Jesse. ALIANZA LINI UTANGAZAJI? Ni wazi kabisa wewe ni nguli katika tasnia ya utangazaji ila napenda kufahamu ulianza lini fani ya utangazaji? Amiri Salumu,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo510 Jan
Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari
10 years ago
Vijimambo25 Jan
10 years ago
CloudsFM15 Dec
MGANGA AWACHOMA MOTO WATEJA WAKE HUKO TANGA WAKATI AKIFANYA TAMBIKO, MMOJA AFA
Mganga wa tiba za asili Omar Kikukwa mwenye miaka 32 Wilayani Kilindi anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto wateja wake na kusababisha mmoja wao kufariki dunia.
Aziza Hassan mmoja wa wnaafamilia walionusurika katika mkasa huo alisema mama yake pamoja na watoto wake wawili walipelekwa kwa mganga wa kienyeji na baba yao wa kufikia kwa ajili ya kufanyiwa tambiko.
Alisema kuwa walipofika kwa mganga huyo na kuanza kufanyiwa dawa ambapo ilifanyika ndani ya shimo ambalo liliezekwa kwa nyasi juu...
10 years ago
Vijimambo03 Feb
UNAAMBIWA MGANGA ANASWA LIVE GUEST NA WAKE ZA WATU USIKU WA MANANE...ETI ANAWAPA DAWA YA MAPENZI.
![](http://api.ning.com/files/*whl3J3XpWTR9ZdnvhG-4xnOgw2OT9HLfyMXoADBFVN3wt7NKWnuIe1ka3Trl66ROUuoO8nzQU9IGHAEeiwXi47lxO2ERZLD/IMG_3673.jpg)
Kwa mujibu wa mashuhuda, jamaa huyo alidaiwa kuwa alikuwa akiwafanyia wake hao wa watu dawa ya mapenzi kwa kuwavua nguo zote kisha ‘kuwachezea’.
![](http://api.ning.com/files/*whl3J3XpWSC7iQaSIJ5Pt*NHih73a2zHCbAphuZwp3wI62zTe5uKP3U-3nCa3YDdwHxpO-Y8APwEW2sZVj34M2pBRpAeeSl/IMG_3707.jpg)
10 years ago
VijimamboCASSIM MGANGA AKA TAJIRI WA MAHABA KUFANYA ONESHO SIKU YA IJUMAA SAFARI CLUB KUWAAGA MASHABIKI WAKE DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-c7qW4p7Dr_c/UzAMJArTRFI/AAAAAAACeJE/upicg1yk9sA/s1600/AfricanNight+(1).png)
NO COVER CHARGE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7knxRUxE-FoVJf90L6Kpa5VAPvKhE5KlrxEqTY8j5KbqORKBNkZ5WohQu4MaqlgCrLK5Kb0Bq*z5ie2RlWyjG5P/ODAMA.jpg)
ODAMA AMKANA PEDESHEE
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Nderakindo amkana Samuel Sitta
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Halima Mdee amkana Mkono