Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGANGA AWACHOMA MOTO WATEJA WAKE HUKO TANGA WAKATI AKIFANYA TAMBIKO, MMOJA AFA

Mganga wa tiba za asili Omar Kikukwa mwenye miaka 32 Wilayani Kilindi anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto wateja wake na kusababisha mmoja wao kufariki dunia.
Aziza Hassan mmoja wa wnaafamilia walionusurika katika mkasa huo alisema mama yake pamoja na watoto wake wawili walipelekwa kwa mganga wa kienyeji na baba yao wa kufikia kwa ajili ya kufanyiwa tambiko.

Alisema kuwa walipofika kwa mganga huyo na kuanza kufanyiwa dawa ambapo ilifanyika ndani ya shimo ambalo liliezekwa kwa nyasi juu...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mganga achoma moto wateja

Mganga wa tiba za asili, Omari Kikukwa (32) mkazi wa Kijiji cha Bondo , Kata ya Mswaki wilayani hapa anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto wateja wake na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

TANGA UWASA YAWATAKA WATEJA KUCHUKUA TAHADHARI WAKATI WA KUPATA HUDUMA KWA KUEPUKA MIRUNDIKANO

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) imewataka wateja wao kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo kama watakavyoongozwa wakati wakupatiwa  huduma ikiwemo kuepuka kurundikana kwa pamoja kwenye madirisha ili kukabiliana  na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. 

Amesema tahadhari hiyo wameichukua ikiwa ni hatua mojawapo kuunga mkono juhudi serikali kuzuia kuingia nchini ugonjwa huo kwa kutoa elimu  kwa njia ya jumbe mbalimbali katika maeneo ya ofisi zao,hususani...

 

9 years ago

Global Publishers

Baba awachoma moto wanaye, kisa samaki

IMG_20151216_170055

Ester Lucas akiwa na majeraha ya moto mkononi.

NA VICTOR BARIETY, Uwazi
GEITA: Baba mzazi wa watoto wawili, Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29, anatafutwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto watoto wake, Denis (5) na Ester Lucas, 3, (pichani) baada ya kuwatuhumu kuiba mboga aina ya samaki kwa jirani yao, tukio lililotokea katika Kijiji cha Msasa, Kata ya Busanda wilayani Geita, mwishoni mwa mwezi Novemba, mwaka huu.

Wakizungumza katika ofisi za mtendaji wa kata kijijini hapo, watoto hao...

 

10 years ago

Michuzi

LG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE WAKATI WA SIKUKUU YA SABASABA

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kulia) akimpa mkono na Bw. Festo Sakaya (kushoto) baada ya mteja huyo kujinunulia friji la kisasa ndani ya banda lao la maonyesho ya Sabasaba ambapo baada ya kufanya manunuzi alizawadiwa microwave ya bure, ya LG. Kampuni hiyo ipo kwenye promosheni ya punguzo la bidhaa zake kwa asilimia 15 kwa msimu huu wa sabasaba na ramadhani. Katikati ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah Bw. Yasin Lodhi. Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG,...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya Exim Tanzania yaandaa futari kwa wateja wake wa mkoani Tanga

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Suleiman Lighuchu akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania kwa wateja wake wa mkoani Tanga hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Deogratius Makwaia, Mgeni Rasmi Meya wa Jiji la Tanga, Mhe. Omary Uledi (Wa pili kulia)na Katibu wa Bakwata wa Mkoa, Bw. Mohamed Riami (wa kwanza kulia). Meya wa Jiji la Tanga, Mhe. Omary Uledi, ambaye pia ni mgeni rasmi (wapili kulia)  akizungumza wakati wa futari...

 

10 years ago

Vijimambo

BIBI HUYU AUA MJUKUU WAKE WA MIAKA 6 KWA KUMTUPA DIRISHANI WAKATI BASI LIKIWA KATIKA MWENDO KASI HUKO SINGIDA

Bi Lawaridi sadi (46)akiwa kituo cha polisi mkoani singida kwa kosa la kutupa mtoto kwenye basi basi ililolilikuwa likielekea mkoani kigoma

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na mtoto wake mmoja na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani huku basi likiwa katika mwendo kasi na kusababisha kifo chake baada ya kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani