Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAINDA: SIMWANIKI MUME MTARAJIWA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo ambaye amejikita kumtumikia Bwana kwenye wokovu, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kamwe hawezi kuainisha sifa za mwanaume anayehitaji aolewe naye kama ilivyo kwa mastaa wengine kwa kuwa jukumu hilo ni la Mungu. Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema japo umri wake unaruhusu kuolewa hawezi kuweka wazi sifa za mwanaume...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JOKATE AANIKA SIFA ZA MUME MTARAJIWA

Na Gabriel Ng’osha
MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake. Mtoto mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo. Akipia stori na paparazi wetu juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na nidhamu kwa wazazi wake. “Sifa ya mume...

 

11 years ago

GPL

MUME WA DIDA ATAJA SIFA ZA MKEWE MTARAJIWA

Stori: Deogratius Mongela BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida,’ mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo. Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne. Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini...

 

11 years ago

GPL

MAINDA ASAKA MUME

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kwa sasa hahitaji mchumba wala mpenzi, anahitaji mume wa kumuweka ndani. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema hata akifuatwa na mtu mwenye fedha nyingi kutaka uhusiano naye, hawezi kumkubalia kwani anachotaka sasa hivi ni ndoa tu. “Kwa sasa mpenzi wangu ni Yesu na kutokana na yeye mume wangu nimeshamuona kwenye maono…yulee...

 

10 years ago

GPL

MKE MTARAJIWA APASUA JIPU

Erick evarist
KWELI! Baada ya mitandao mbalimbali kuripoti habari zinazokinzana juu ya tukio la bwana harusi mtarajiwa aliyetajwa kwa jina la Stephano kunaswa kwenye tukio la ujambazi muda mfupi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Happy Merere, bi. Harusi huyo mtarajiwa ameibuka na kuanika ukweli wa mambo, Risasi Jumamosi lina full stori. Stephano akiwa na mpenzi wake mpenzi wake, Happy Merere baada ya kumvisha pete...

 

9 years ago

Mtanzania

Padre mtarajiwa kizimbani kwa mauaji

Pg 3 sept 10NA JANETH MUSHI, ARUSHA

MTUHUMIWA wa mauaji katika Hoteli ya A Square Belmont jijini Arusha, Elijus Lyatuu (31), ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Kanisa la Katoliki Segerea jijini Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la mauaji.

Mtuhumiwa huyo, alifikishwa mahakamani jana saa 4:30 asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi ndani ya gari aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili  PT 1434.

Mwendesha mashtaka wa Serikali,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliye pandikizwa uume,baba mtarajiwa

Daktari wa usapuaji nchini Afrika Kusini amethibitisha kwamba mwanamme wa kwanza aliyepandikizwa uume atakuwa baba hivi karibuni.

 

9 years ago

Mtanzania

Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha

LiberatusSabasNA JANETH MUSHI, ARUSHA

JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.

Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI: RAIS MTARAJIWA MWENYE HOFU YA MUNGU

John Pombe Magufuli Na Erick Evarist HISTORIA ya maisha yake tangu alipozaliwa hadi sasa, John Pombe Magufuli ameishi katika matakwa ya dini ya Kikrosto. Mbali na kuwa mkristo, mkatoliki, anamheshimu kila mtu. Mwenye imani kama yake, imani tofauti na hata wale wasio na dini, wote anawapa haki sawa. Amemtanguliza Mungu katika kila jambo. Safari yake ya kuomba urais, aliianza kwa kumtanguliza Mungu na kweli akajibu maombi yake....

 

9 years ago

GPL

KUMBE RAIS MTARAJIWA NDUGU YANGU KABISA

Yaani mimi mwenyewe bado sijaamini. Babu yangu ndiyo kaniita jana akaniambia hii siri kubwa ya kifamilia ambayo sasa ningependa kuwahusisha. Mara alipotangazwa mshindi wa mbio za urais babu yangu akaniita chumbani kwake, akaniambia, ‘Mjukuu wangu kuna siri nataka kukwambia. Sijui unajua kuwa baba yangu aliwahi kuishi Chato?’ Nikamjibu babu kuwa sikujua hilo. Basi babu ndiyo akaanza kunihadithia siri kubwa sana. Kumbe baba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani