JOKATE AANIKA SIFA ZA MUME MTARAJIWA
![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJCmcsx0ivECFR3hZaTHNyCVebhfMysaLe6Yox2vuvYgh6RAzYDCZq6CMEUIyEluiKZVULOr732AmyvZiCWp86Uf/jokate.jpg?width=650)
Na Gabriel Ng’osha MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake. Mtoto mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo. Akipia stori na paparazi wetu juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na nidhamu kwa wazazi wake. “Sifa ya mume...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZdAUAtjy4LQuyATBLoCebltba1THuKBJX9fVboqiG2RuMyDfScIGVgLmtEFWCXsQYF8Od64F5bxA6QDknVaKbKh/DIDA6.jpg?width=650)
MUME WA DIDA ATAJA SIFA ZA MKEWE MTARAJIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPyPtoDRL6MuSaRy3KQAo2P2R7CRHtMPrg2ZLNnTSl61t4Hq4oakTGzxtwmUFwHRhtkyV3GGg958kYW2Pm1eGO00/rayc.jpg?width=650)
RAY C AANIKA VIGEZO VYA MUMEWE MTARAJIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*AonbdvWeCythp9C-civwSKjevKWCQR1DHC3DwW8-oQyq-1BEzcv8tls1CKnLjsqjcMgzv008bcYEgZYa8yYT*G/Mainda.jpg?width=650)
MAINDA: SIMWANIKI MUME MTARAJIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEKN*riTkpzr-P31K9ejKc21SFcCDGU1ipmcFpzw-uj1DEtXOlvPP*fnE-EJPJY8btVnEYYpOECJMUIekgrBcUXd/Jokate.jpg)
JOKATE AANIKA MAPENZI YAKE KWA JANUARI, ZITTO NA MILLARD
10 years ago
Vijimambo24 Dec
DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI, ACHAMBUA UBOVU WA WEMA, PENNY NA JOKATE
![](http://api.ning.com/files/BybgAqvu3OnnTpxUvjp2wQpPb9wrnW0FkthLue3yshTOidJli16V4T5N7Kf0h69qzGS4dpJLITqItRlnYOJCkca9i3FYLzYH/diamondzari.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal
Robert Pires.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.
Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.
“Namjua Wanyama, ni balozi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq*TqL7itixtFtHzwNRIkgOXrJj128saaLBuzCcsulczOc*CdXztBa89hzrB*XdEuU09n5wr3s6qXz9WUn8roXh2/2.jpg?width=650)
MKE MTARAJIWA APASUA JIPU