RAY C AANIKA VIGEZO VYA MUMEWE MTARAJIWA
![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPyPtoDRL6MuSaRy3KQAo2P2R7CRHtMPrg2ZLNnTSl61t4Hq4oakTGzxtwmUFwHRhtkyV3GGg958kYW2Pm1eGO00/rayc.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi. Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray C alisema anahitaji mwanaume mtu mzima anayemzidi miaka kumi, anayejitambua na asiwe mwanamuziki kwani anaamini akiwa na mtu kama huyo uhusiano wao utakuwa mzuri kuliko ule wa awali uliokuwa wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJCmcsx0ivECFR3hZaTHNyCVebhfMysaLe6Yox2vuvYgh6RAzYDCZq6CMEUIyEluiKZVULOr732AmyvZiCWp86Uf/jokate.jpg?width=650)
JOKATE AANIKA SIFA ZA MUME MTARAJIWA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-BSNE4-w-sRA/VZVMtc0P8II/AAAAAAAAw8M/hBwHT0xRlFI/s72-c/ray%2Bc2.jpg)
Ray C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye
![](http://2.bp.blogspot.com/-BSNE4-w-sRA/VZVMtc0P8II/AAAAAAAAw8M/hBwHT0xRlFI/s400/ray%2Bc2.jpg)
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika:
“Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2.Awe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP42EqymyO5hYkDzByR5LBiti7UOuTXDCKWH9AyM57t*y6kNf2c0Y4D6gEyDNTlULmnNX7M3dzFd4uaTAC5NQCUL/Ray.jpg)
RAY AANIKA SABABU YA KUTOOA, ASHANGAZA!
9 years ago
Bongo Movies17 Sep
Chuchu Hans Aanika Siri ya Kumkoleza Ray
NINA imani mu-wazima wa afya wasomaji wetu, kama kawa kwenye kolamu hii tumekuwa tukiwaleta mastaa tofautitofauti na kufunguka mambo mbalimbali yahusuyo maisha yao kwenye sanaa na nje ya fani.
Leo tunaye staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans ambaye ni mwandani wa msanii mkongwe kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Vincent Kigosi `Ray’ aliyeweza kufunguka mambo mbalimbali kutokana na maswali aliyoulizwa na wasomaji wetu katika kolamu hii wiki iliyopita na kuyatolea ufafanuzi bila hiyana.
Msomaji:...
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Zanzibar mbioni kufikia vigezo vya WHO
![Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Dr.-Ali-Mohamed-Shein.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, katika miaka michache ijayo, Zanzibar itakuwa na madaktari wa kutosha kufikia uwiano uliopendekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) wa angalau daktari mmoja kuhudumia wagonjwa 10,000 kwa nchi zinazoendelea.
Dk. Shein ametoa kauli hiyo jana wakati alipokuwa akizungumza katika mahafali...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Mangula ataja vigezo 13 vya urais
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula amesema vigezo 13, vitatumika kuwachuja wanachama wa chama hicho ambao wameomba kugombea urais CCM.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Msiajiri kwa vigezo vya undugu-mkurugenzi
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Uingereza yashauri kuhusu vigezo vya walimu nchini
11 years ago
Tanzania Daima01 May
JK ametumia vigezo gani vya madaraja nishani za Muungano?
MWANZONI mwa wiki hii Rais Jakaya Kikwete aliwatunuku nishani viongozi mbalimbali waliotumikia taifa hili kwa nyakati tofauti. Rais Kikwete alitunuku nishani hizo kama sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka...