RAY AANIKA SABABU YA KUTOOA, ASHANGAZA!
![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP42EqymyO5hYkDzByR5LBiti7UOuTXDCKWH9AyM57t*y6kNf2c0Y4D6gEyDNTlULmnNX7M3dzFd4uaTAC5NQCUL/Ray.jpg)
Brighton Masalu Msanii wa ‘long time’ kwenye anga la filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda. Msanii wa ‘long time’ kwenye anga la filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 May
Hii ndiyo Sababu ya Ray Kutooa Hadi Sasa
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.
Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa.
“Unajua hili suala la ndoa ni...
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Papa:Sheria ya kutooa kutafutiwa sababu
9 years ago
Bongo Movies17 Sep
Chuchu Hans Aanika Siri ya Kumkoleza Ray
NINA imani mu-wazima wa afya wasomaji wetu, kama kawa kwenye kolamu hii tumekuwa tukiwaleta mastaa tofautitofauti na kufunguka mambo mbalimbali yahusuyo maisha yao kwenye sanaa na nje ya fani.
Leo tunaye staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans ambaye ni mwandani wa msanii mkongwe kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Vincent Kigosi `Ray’ aliyeweza kufunguka mambo mbalimbali kutokana na maswali aliyoulizwa na wasomaji wetu katika kolamu hii wiki iliyopita na kuyatolea ufafanuzi bila hiyana.
Msomaji:...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPyPtoDRL6MuSaRy3KQAo2P2R7CRHtMPrg2ZLNnTSl61t4Hq4oakTGzxtwmUFwHRhtkyV3GGg958kYW2Pm1eGO00/rayc.jpg?width=650)
RAY C AANIKA VIGEZO VYA MUMEWE MTARAJIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRaJ9Vh9LNrf1Mvmk7ZSDCMtov*rByJ0zaNIiNH0Vpirl-72QIdmV4K4Qp1pHG*W38LK*n05zspcZWT2btbwavfh/amanda.jpg?width=650)
AMANDA AANIKA SABABU ZA KUTOKUZAA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Oln00cuAGRCBFMhgHVn4qx4jFH7z6FVXUJSBe3neRc-oG6TU0*J8GzIQ6kgR2QntO5iwwNnRLYzBSJL8fEhFwpB/FRONT.jpg?width=650)
DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uScu3MyqRzM-UBaGU0X5Qj8APzZ89ce5Z2TdXRyWKSsZr0NHo5Kdqi8DTO80BqWWXziR4POG4NdY1WO0Dn6wYRipF/steve.jpg)
STEVE NYERERE AANIKA SABABU ZA KUJITOLEA MSIBA WA AISHA
10 years ago
Vijimambo24 Dec
DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI, ACHAMBUA UBOVU WA WEMA, PENNY NA JOKATE
![](http://api.ning.com/files/BybgAqvu3OnnTpxUvjp2wQpPb9wrnW0FkthLue3yshTOidJli16V4T5N7Kf0h69qzGS4dpJLITqItRlnYOJCkca9i3FYLzYH/diamondzari.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo Movies25 May
Picha: Usihukumu Chaguo Langu Kabla Haujaelewa Sababu Zangu-Ray
Picha hapo juu ni staa mkongwe wa Bongo Movies Vicent Kigosi ‘Ray’akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans amebnaye pia ni staa wa Bongo Movies.
Ray alibandika picha hii kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram na kuadika “don't judge my choice before understanding my reasons”.
Mafuliko ya LIKES na COMMENTS kwenye picha hii ndio yamenifanya niileta hapa ili nawe mdau usafishe macho.
Mbali na ujumbe mzito aliondikwa kwenye picha hii, wawili hawa kiukweli wametokelezeaaaa.Neno moja...