Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa:Sheria ya kutooa kutafutiwa sababu

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaamini sheria inayowazuia makasisi katika kanisa hilo kuoa huenda ikaondolewa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAY AANIKA SABABU YA KUTOOA, ASHANGAZA!

Brighton Masalu
Msanii wa ‘long time’ kwenye anga la filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda. Msanii wa ‘long time’ kwenye anga la filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii ndiyo Sababu ya Ray Kutooa Hadi Sasa

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda.

Akizungumza na gazeti la  Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.

Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa.

“Unajua hili suala la ndoa ni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis kurahisisha sheria ya talaka

Kiongozi wa kanisa katoliki anatarajiwa kutangaza sheria mpya zitakazowaruhusu wakatoliki kutoa talaka na kuoana upya

 

9 years ago

Mtanzania

Sheria ya ndoa ya Papa Francis na vitu unavyotakiwa kuvifahamu

papa1JOSEPH HIZA NA MITANDAO

JUMANNE wiki hii Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, alitangaza mageuzi makubwa juu ya namna kanisa hilo linavyoweza kushughulikia ubatilishaji wa ndoa.

Vifuatavyo ni baadhi ya vitu unavyotakiwa kuvifahamu.
Kwanza tuangalie; Ndoa batili ni nini? Je ni sawa na talaka? Ndoa batili ni uamuzi wa kutangaza kuwa muungano
huo wa watu wawili baina ya mwanamume na mwanamke haukutimiza vigezo vinavyoweza kuihalalisha ndoa tangu mwanzo.

Kwamba kuna kitu hakikuwa sawa wakati...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.

1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NI NINI?

Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   Kwahiyo   katika maana  yetu   ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI

Na  Bashir  Yakub.
1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NININI.
Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   
Kwahiyo  ...

 

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mugabe kutafutiwa kiti cha magurudumu

Mkewe rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ,Grace, amekanusha madai kuwa anapania kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani