Hii ndiyo Sababu ya Ray Kutooa Hadi Sasa
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.
Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa.
“Unajua hili suala la ndoa ni...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP42EqymyO5hYkDzByR5LBiti7UOuTXDCKWH9AyM57t*y6kNf2c0Y4D6gEyDNTlULmnNX7M3dzFd4uaTAC5NQCUL/Ray.jpg)
RAY AANIKA SABABU YA KUTOOA, ASHANGAZA!
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wRjaqNY0Xsk/VUzQdlYeZXI/AAAAAAABN6I/3MMG6aAOONw/s72-c/RAY.jpg)
RAY KIGOSI ATOA SABABU INAYOMFANYA ASHINDWE KUOA HADI SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-wRjaqNY0Xsk/VUzQdlYeZXI/AAAAAAABN6I/3MMG6aAOONw/s400/RAY.jpg)
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo...
10 years ago
Mwananchi27 Nov
‘Hii ndiyo sababu ya kufunguliwa escrow’
10 years ago
CloudsFM10 Dec
Sababu Ya Diddy Kumpiga Drake Ndiyo Hii
Diddy aligombana na Drake jumatatu asubuhi baada ya sherehe ya siku ya kuzaliwa na Dj Khaled nje ya club ya LIV huko Miami Beach na sababu ikiwa Diddy alihisi amekosewa heshima na Drake.
Producer maarufu Boi-1da aliwapa Diddy na Drake wimbo huu ili warekodi miezi nane iliyopita ila Drake alikwenda...
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Hii ndiyo sababu ya kuwa na sera mpya ya elimu
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Papa:Sheria ya kutooa kutafutiwa sababu
10 years ago
Mwananchi17 Feb
UCHAMBUZI: Hii ndiyo sababu ya kuwa na sera mpya ya elimu
10 years ago
Bongo Movies28 Jul
Hii Ndiyo Sababu Inayomfanya JB Kuonekana Anacheka Kila Saa
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ameeleza kuwa mkeo ndiyo sababu ya yeye kuonekana mwenye furaha wakati wote.
JB alifunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram , ambapo aliweka picha hiyo hapo akiwa na mkeo nakuandika;
Kupenda si kumiliki tu bali kumfanya umpendae awe na furaha ndio maana halisi ya kupenda....kusema huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu nimefunga nae pingu za maisha haitoshi....asante kwa kunifanya niwe nafuraha na kuweza kufanya kazi zangu...