Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu Ya Diddy Kumpiga Drake Ndiyo Hii

Tmz imeripoti kuwa wimbo uliomfanya Drake apigwe na Puff Daddy ni “0 to 100/ The Catch Up” ambao mpaka sasa umetajwa kuwania tuzo mbili za Grammy kama Best Rap Performance na Best Rap Song.
Diddy aligombana na Drake jumatatu asubuhi baada ya sherehe ya siku ya kuzaliwa na Dj Khaled nje ya club ya LIV huko Miami Beach na sababu ikiwa Diddy alihisi amekosewa heshima na Drake.

Producer maarufu Boi-1da aliwapa Diddy na Drake wimbo huu ili warekodi miezi nane iliyopita ila Drake alikwenda...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Hii ndiyo sababu ya kufunguliwa escrow’

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe ameanika chanzo cha kufunguliwa kwa Akaunti ya Tegeta Escrow kuwa ni mgogoro ulioibuka kati ya Tanesco na IPTL.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii ndiyo Sababu ya Ray Kutooa Hadi Sasa

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda.

Akizungumza na gazeti la  Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.

Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa.

“Unajua hili suala la ndoa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo sababu ya kuwa na sera mpya ya elimu

Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Hii ndiyo sababu ya kuwa na sera mpya ya elimu

>Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii Ndiyo Sababu Inayomfanya JB Kuonekana Anacheka Kila Saa

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ameeleza kuwa mkeo ndiyo sababu ya yeye kuonekana mwenye furaha wakati wote.

JB alifunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram , ambapo aliweka picha hiyo hapo akiwa na mkeo nakuandika;

Kupenda si kumiliki tu bali kumfanya umpendae awe na furaha ndio maana halisi ya kupenda....kusema huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu nimefunga nae pingu za maisha haitoshi....asante kwa kunifanya niwe nafuraha na kuweza kufanya kazi zangu...

 

10 years ago

Bongo5

Drake adaiwa kulazwa hospitali baada ya kupewa kichapo na P.Diddy

Baada ya kuhusishwa kwenye drama ya Chris Brown na Karrueche Tran weekend iliyopita, sasa inadaiwa kuwa rapper wa Canada, Drake amelazwa hospitali baada ya kujihusisha kwenye ugomvi na P.Diddy. Kwa mujibu wa TMZ, Diddy alimfunza adabu Drake nje ya club ya Miami Jumatatu asubuhi ambapo wote walikuwa wamehudhuria birthday ya Dj Khalid. Mwanzo ilisemekana kuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Dr Dre aongoza tena ‘ 2014 Hip Hop Cash Kings’, akifuatiwa na Jay Z, Diddy na Drake

Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya wasanii wa Hip Hop wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka huu, ‘The 2014 Hip-Hop Cash Kings’ na Dr Dre amekamata nafasi ya kwanza kwa mara nyingine. Dre Dre amepewa ufalme huo kwa kutengeneza $620 million kupitia biashara zake, na kumfanya arudi kwenye nafasi ya kwanza aliyoikamata mwaka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani