Picha: Usihukumu Chaguo Langu Kabla Haujaelewa Sababu Zangu-Ray
Picha hapo juu ni staa mkongwe wa Bongo Movies Vicent Kigosi ‘Ray’akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans amebnaye pia ni staa wa Bongo Movies.
Ray alibandika picha hii kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram na kuadika “don't judge my choice before understanding my reasons”.
Mafuliko ya LIKES na COMMENTS kwenye picha hii ndio yamenifanya niileta hapa ili nawe mdau usafishe macho.
Mbali na ujumbe mzito aliondikwa kwenye picha hii, wawili hawa kiukweli wametokelezeaaaa.Neno moja...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Dec
‘Mrwanda chaguo langu’
10 years ago
Bongo509 Oct
New Music: Khalid Chokoraa Ft. T.I.D — Chaguo Langu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBv-ngazpPVJGWLQ3bdW3RvCjOAzNnDSTvwvbCxjmAySILSSrqYKn30Y5SVyYZJPmgwKYCrupLAbnDjE4KMCVOoq/3.jpg?width=650)
CHUCHU: RAY AMEWAKIMBIZA MARAFIKI ZANGU
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Ninazo sababu zangu binafsi ,Ni kwa nini nataka ccm kakae bench ?
The post Ninazo sababu zangu binafsi ,Ni kwa nini nataka ccm kakae bench ? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP42EqymyO5hYkDzByR5LBiti7UOuTXDCKWH9AyM57t*y6kNf2c0Y4D6gEyDNTlULmnNX7M3dzFd4uaTAC5NQCUL/Ray.jpg)
RAY AANIKA SABABU YA KUTOOA, ASHANGAZA!
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Sababu za kuenea Kiswahili kabla na wakati wa ukoloni
10 years ago
Bongo Movies08 May
Hii ndiyo Sababu ya Ray Kutooa Hadi Sasa
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.
Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa.
“Unajua hili suala la ndoa ni...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wRjaqNY0Xsk/VUzQdlYeZXI/AAAAAAABN6I/3MMG6aAOONw/s72-c/RAY.jpg)
RAY KIGOSI ATOA SABABU INAYOMFANYA ASHINDWE KUOA HADI SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-wRjaqNY0Xsk/VUzQdlYeZXI/AAAAAAABN6I/3MMG6aAOONw/s400/RAY.jpg)
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo...