Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu za kuenea Kiswahili kabla na wakati wa ukoloni

Ukuaji na ueneaji ni maneno mawili yenye maana zinazokaribiana lakini zinazotofautiana. Ukuaji humaanisha ongezeko la msamiati katika lugha na ueneaji ni uongezekaji wa matumizi ya lugha kieneo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maendeleo ya Kiswahili tangu ukoloni hadi sasa.

Lugha ya Kiswahili ni kiungo muhimu sana katika maendeleo ya nchi za Afrika Mashariki hasa katika uchumi, elimu, siasa, maendeleo ya Kiswahili, utamaduni, biashara, n.k. Hivi sasa ziko juhudi za ushirikiano na maelewano kwa jamii nzima ya Afrika Mashariki kupitia lugha ya Kiswahili.

 

10 years ago

Mwananchi

Waarabu, Wazungu walivyochangia kukua na kuenea Kiswahili

Katika karne ya 19, Afrika Mashariki iliingia kwenye uhusiano na mataifa mengine kama vile Ujerumani na Uingereza.

 

5 years ago

Michuzi

SADC TUIMARISHE UMOJA NA MSHIKAMANO WETU WAKATI HUU KUENEA KWA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA-PROF.KABUDI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba kabudi (Mb) (wa kwanza kushoto) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya mawaziri pamoja na maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WanaCCM watahadharishwa na wagombea wanaoanza kampeni kabla ya wakati


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akiwa sambamba na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Taifa Mzee Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa Jengo la Ofisi ya Tawi la CCM la Kijiji cha Ghana Jimboni Uzini Mkoa wa Kusini Unguja.Balozi Seif akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kusini Unguja aliyepo Kati kati Dr. Idriss Muslim Hijja na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Moh’d Raza wakifurahia mazingira safi ya Ofisi Mpya ya CCM Tawi la Ghana mara baada ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Usihukumu Chaguo Langu Kabla Haujaelewa Sababu Zangu-Ray

Picha hapo juu ni staa mkongwe wa Bongo Movies Vicent Kigosi ‘Ray’akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans amebnaye pia ni staa wa Bongo Movies.

Ray alibandika picha hii kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram na kuadika “don't judge my choice before understanding my reasons”.

Mafuliko ya LIKES na COMMENTS kwenye picha hii ndio yamenifanya niileta hapa ili nawe mdau usafishe macho.

Mbali na ujumbe mzito aliondikwa kwenye picha hii, wawili hawa kiukweli wametokelezeaaaa.Neno moja...

 

5 years ago

BBCSwahili

Sababu ya maandamano kuwa na nguvu wakati huu nchini Marekani

Maelfu ya Wamarekani wamekuwa wakiandamana katika mitaa mingi nchini humo kupinga ubaguzi, kwa mara ya kwanza idadi ya watu imekuwa kubwa.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa

davido ADavido ameweka wazi sababu iliyomfanya yeye na uongozi wake kuahirisha kutoa album yake mpya ‘The Baddest’ hadi mwakani. Staa huyo wa Nigeria amesema kuwa album hiyo iko tayari, lakini siku mbili kabla ya terehe ya kuitoa walipigiwa simu kutoka kwenye kampuni moja kubwa ambayo inataka kuhusika kwenye maswala ya usambazaji. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]

 

5 years ago

Michuzi

SAMIA SULUHU HASSAN AWAONYA WANA CCM WALIOANZA KAMPENI KABLA YA WAKATI,ASEMA WANAYO MAJINA YAO

Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamiiMAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na tayari kuna watu wameanza kujipitisha kwenye kata na majimbo kabla ya wakati, hivyo ametoa onyo kwa yoyote anayejipitisha mapema atachukuliwa hatua kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya Chama hicho.Mama Samia ameyasema hayo leo Februari 13,2020 kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam. Mkutano huo ulihudhuria na...

 

10 years ago

Vijimambo

Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu


Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani