Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangula ataja vigezo 13 vya urais

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip MangulaMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula amesema vigezo 13, vitatumika kuwachuja wanachama wa chama hicho ambao wameomba kugombea urais CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani ataja 11 wanaotosha kugombea urais 2015

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametaja majina 11 ya wanachama wa CCM wanaofaa kuwania urais kurithi kiti cha baba yake, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataja wanawake wanaofaa kuwania urais

MBUNGE wa Viti Maalumu, Anna Abdallah (CCM), amewataja wanawake watatu anaoona wanafaaa kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu mwakani. Akizungumza katika kipindi cha Medani za Wanasiasa na Uchumi, kinachorushwa na kituo...

 

11 years ago

Mtanzania

Zanzibar mbioni kufikia vigezo vya WHO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, katika miaka michache ijayo, Zanzibar itakuwa na madaktari wa kutosha kufikia uwiano uliopendekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) wa angalau daktari mmoja kuhudumia wagonjwa 10,000 kwa nchi zinazoendelea.

Dk. Shein ametoa kauli hiyo jana wakati alipokuwa akizungumza katika mahafali...

 

11 years ago

Mwananchi

Msiajiri kwa vigezo vya undugu-mkurugenzi

Wamiliki wa hoteli mkoani Iringa, wametakiwa kuacha mazoea ya kuajiri wafanyakazi wasiokuwa na ujuzi na badala yake, wazingatie sifa na vigezo vya walivyo navyo, ili kuchochea kasi ya ukuaji wa shughuli za utalii.

 

11 years ago

GPL

RAY C AANIKA VIGEZO VYA MUMEWE MTARAJIWA

Na Gladness Mallya
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi. Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray C alisema anahitaji mwanaume mtu mzima anayemzidi miaka kumi, anayejitambua na asiwe mwanamuziki kwani anaamini akiwa na mtu kama huyo uhusiano wao utakuwa mzuri kuliko ule wa awali uliokuwa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nakerwa na vigezo vya uzoefu kuomba ajira

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuingia Ikulu atapambana kuhakikisha Watanzania wengi wanapata ajira na kwamba anakerwa sana na kigezo cha mtu kuwa na uzoefu ndio apatiwe ajira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK ametumia vigezo gani vya madaraja nishani za Muungano?

MWANZONI mwa wiki hii Rais Jakaya Kikwete aliwatunuku nishani viongozi mbalimbali waliotumikia taifa hili kwa nyakati tofauti. Rais Kikwete alitunuku nishani hizo kama sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Uingereza yashauri kuhusu vigezo vya walimu nchini

Serikali imeshauriwa kuzingatia ubora na vigezo vya kitaaluma wakati wa kuajiri walimu na siyo kuajiri kwa kufuata idadi ya wahitimu katika fani hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAKIDHI VIGEZO VYA UTOAJI WA HUDUMA YA MAWASILIANO-TCRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom imekidhi vigezo vya utoaji huduma kwa wateja huku makampuni matano yakipigwa adhabu ya sh.milioni 25 kutokana kulaghai wateja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA), Dkt. Ally Simba amesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani