Majaliwa aapishwa Dodoma, awa Waziri Mkuu wa 11
Rais John Magufuli leo amemwapisha Waziri Mkuu Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa katika sherehe za kufana zilizofanyika Ikulu ndogo ya Chamwino, Dodoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Waziri Mkuu Majaliwa aapishwa
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Kassim Majaliwa kuteuliwa na Rais John Magufuli na kuthibitishwa na Bunge kwa asilimia 73.5 kuwa Waziri Mkuu, jana aliapishwa kuanza kazi rasmi katika wadhifa huo.
Majaliwa, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, aliapishwa na Rais Magufuli majira ya asubuhi katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Chamwino, mjini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, wakuu wa vyombo vya ulinzi pamoja na viongozi...
9 years ago
MichuziJINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA JIJI LA DODOMA
Charles James, Michuzi TV
JIJI la Dodoma limetakiwa kuhakikisha linapima viwanja vyake vyote na kuzuia ujengaji holela wa makazi ya watu ili kulifanya Jiji hilo kuwa na mandhari ya kisasa kama yalivyo majiji makubwa duniani.
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa leo jijini Dodoma wakati akizindua mpango kabambe wa Jiji la Dodoma katika hafla iliyohudhuriwa pia na Spika wa Bunge, Mawaziri na Manaibu pamoja na watendaji wengine wa Serikali.
Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe Majaliwa...
5 years ago
MichuziMATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Paramagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi na...
5 years ago
MichuziMATUKIO YA PICHA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIWAHI BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.