Waziri Mkuu Majaliwa aapishwa
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Kassim Majaliwa kuteuliwa na Rais John Magufuli na kuthibitishwa na Bunge kwa asilimia 73.5 kuwa Waziri Mkuu, jana aliapishwa kuanza kazi rasmi katika wadhifa huo.
Majaliwa, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, aliapishwa na Rais Magufuli majira ya asubuhi katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Chamwino, mjini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, wakuu wa vyombo vya ulinzi pamoja na viongozi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Majaliwa aapishwa Dodoma, awa Waziri Mkuu wa 11
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
9 years ago
MichuziWaziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi21 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA
9 years ago
MichuziJINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!