MAJALIWA AONDOKA KIGOMA BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 22, 2020 ameondoka mkoani Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku moja. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwaaga viongozi kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja mkoani humo, Februari 22, 2020. Wa pili kulia ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.
Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...
9 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AONDOKA NCHINI VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI HUMO

10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI RWANDA LEO

Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete ameudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili...
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Kigoma wafurahia ziara ya Majaliwa
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MOJA NCHINI


9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Kigoma katika picha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi Desemba 28, 2015.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Rais Kikwete aondoka nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete yuko njiani kwenda India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee. Ziara hiyo, inaanza rasmi jioni ya Jumatano, Juni 17, 2015.
Wakati wa ziara yake, Rais Kikwete ambaye anafuatana na Mama Salma Kikwete, mbali na kukutana na Rais Mukherjee kwa...