Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigoma wafurahia ziara ya Majaliwa

Baadhi ya viongozi na wakazi wa Kigoma, wamesema ziara ya siku tatu ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mkoani humo itaongeza ufanisi kwa watendaji na kutoa suluhisho la migogoro katika baadhi ya halmashauri nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AONDOKA KIGOMA BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo  Februari 22, 2020 ameondoka mkoani Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku moja. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwaaga viongozi  kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja mkoani humo, Februari 22, 2020. Wa pili kulia ni...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Kigoma katika picha

IMGS6659

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya  Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi  Desemba 28, 2015.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS6666

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa  akitazama kifaa kinachotumiwa na wahalifu kutengeneza...

 

9 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalikiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kushoto ni Mwenye kiyi wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Walid Kabourou. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Muu, Kassim Majliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa ziarani Kigoma

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili mkoani Kigoma kuanzia leo ikiwa ni ziara yake ya kwanza mkoani hapa tangu alipochaguliwa kuwa Waziri Mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa anusa ufisadi Kigoma

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Dk John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma unaohusisha uuzwaji wa jengo la Shirika la Maendeleo Kigoma (KIGODECO) kwa bei ya kutupwa.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma mchana huu, tayari kwa kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoani Kigoma mara baada ya kuwasili.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kigoma iliyofika kwenye Uwanja wa Ndege kumlaki.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kikundi cha ngoma cha akina mama wa ujiji Mkoani Kigoma. Kwaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA MKOA WA KIGOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya  CCM ya Mkoa wa Kigoma kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma, Februari 21, 2020.Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu  ya CCM ya  Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu na  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani