Majaliwa kuapishwa leo
WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Rais John Magufuli ni Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa (55). Majaliwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) akishughulikia Elimu katika Serikali ya Awamu ya Nne, hakuwa miongoni mwa waliokuwa wakitajwa sana na vyombo vya habari na hata wabunge kwamba wangeteuliwa katika nafasi hiyo kubwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s72-c/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s640/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Picha za kuapishwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma leo!
Rais John Magufuli akimwapisha Mheshimiwa Majaliwa kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-91OlTIPqjuc/Vk3UYxwpXMI/AAAAAAAIG2Q/syFrnKI7eY0/s72-c/e016df6a-9405-4fcb-8a4c-a6cc56bfa773.jpg)
JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-91OlTIPqjuc/Vk3UYxwpXMI/AAAAAAAIG2Q/syFrnKI7eY0/s640/e016df6a-9405-4fcb-8a4c-a6cc56bfa773.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SPwNhHsLDZc/Vk3UZe8j8uI/AAAAAAAIG2U/dKvkFwo7AbM/s640/341f65c7-1c03-42f7-b6f5-e556a02db311.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zVsuTU_qSNo/Vk3UaZa4eYI/AAAAAAAIG2c/kbZMCLNE8kk/s640/70708e25-c1c4-43bb-ad49-a1215b5facba.jpg)
9 years ago
Habarileo05 Nov
Magufuli kuapishwa leo
RAIS mteule, Dk John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam.
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)
10 years ago
BBCSwahili29 May
Nigeria:Muhammadu Buhari kuapishwa leo
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Rais mpya Sri Lanka kuapishwa leo
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Rais mpya wa Burkina Faso kuapishwa leo