Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJALIWA: SERIKALI IMEFUNGA VYUO VYA KATI, VIKUU KUJIKINGA NA CORONA

SERIKALIimeagiza vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu vifungwe kwa muda wa siku 30 kuanzia leo Machi 18, 2020 ili kuondoa msongamano katika maeneo hayo na kuweza kujikinga na virusi vya corona.
Amesema hadi leo, nchini kuna jumla ya watu watatu waliobainika kuwa na virusi vya corona ikiwa ni ongezeko la wagonjwa wawili, mmoja ni raia wa Ujerumani (24) aliyegundulika Zanzibar na mwingine ni raia wa Marekani (61) aliyegundulika Dar es Salaam. Wote wapo katika uangalizi. ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OLE NASHA AVITAKA VYUO VIKUU KUTOA MAELEKEZO YA KUJIKINGA NA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amevitaka Vyuo vya Elimu ya Juu na vya Kati nchini vinavyoanza masomo Juni 1, 2020 kutoa maelekezo kwa wanafunzi ya jinsi ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya CORONA bila kuwatia hofu.

Naibu Waziri Ole Nasha ametoa maelekezo hayo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kukagua namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilivyoandaa mazingira  kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya CORONA kwa wanafunzi  kuelekea kuanza masomo Juni 1,...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu

 Serikali imekunjua makucha yake katika kudhibiti ada zinazotozwa katika vyombo vya utoaji elimu chini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1

Taasisi zote za elimu Tanzania zimefungwa toka mwezi Machi.

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA: TUTAHAKIKISHA CORONA HAISAMBAI ZAIDI NCHINI, AVISHUKURU VYOMBO VYA HABARI KWA KUELIMISHA UMMA NAMNA YA KUJIKINGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu   kuhusu ugonjwa wa Corona (COVID – 19) nchini, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, leo, Machi 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)













DODOMA, Tanzania
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kufanya tathmini ili kuhakikisha inazuia ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona isiweze kusambaa kwa kiasi kikubwa nchini, huku akivishukuru vyombo vya habari nchini...

 

11 years ago

Mwananchi

Mziray: Serikali itupie jicho vyuo vya kati

Ilikuwa ni ndoto kwa wahitimu wa kidato cha nne au sita kuendelea na masomo ya vyuo vya kati kwa miaka ya nyuma tofauti na ilivyo sasa kwa kuwa hali imekuwa chanya.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Serikali ilikosea kuua vyuo vya kati

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Serikali ilifanya kosa kuvibadili vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu, kutokana na kupunguza idadi ya watumishi wa daraja la kati ambao ndiyo watendaji.

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani