Sumaye: Serikali ilikosea kuua vyuo vya kati
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Serikali ilifanya kosa kuvibadili vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu, kutokana na kupunguza idadi ya watumishi wa daraja la kati ambao ndiyo watendaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Mziray: Serikali itupie jicho vyuo vya kati
5 years ago
Michuzi
MAJALIWA: SERIKALI IMEFUNGA VYUO VYA KATI, VIKUU KUJIKINGA NA CORONA

Amesema hadi leo, nchini kuna jumla ya watu watatu waliobainika kuwa na virusi vya corona ikiwa ni ongezeko la wagonjwa wawili, mmoja ni raia wa Ujerumani (24) aliyegundulika Zanzibar na mwingine ni raia wa Marekani (61) aliyegundulika Dar es Salaam. Wote wapo katika uangalizi. ...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Serikali yavishukia vyuo vya afya
9 years ago
Habarileo06 Dec
Serikali yahimizwa vyuo vya ufundi stadi
SERIKALI imetakiwa kuwekeza kwenye elimu ya vyuo vya ufundi stadi kwa lengo la kuviboresha na kutoa wahitimu bora hasa vijana.
11 years ago
GPL
PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)
11 years ago
Dewji Blog18 Aug
Vyuo 33 kanda ya Kati na Dar kupamba Tamasha la Elimu
Mratibu wa Tamasha la NACTE INTER COLLEGE TANZANIA 2014/2015, Bi, Magreth Kilawe,(kati), akifafanua kwa waandishi wa habari, kuhusiana na Tamasha la Vyuo vya Elimu ya Kati na Vilivyopata Usajili wa NACTE, mikoa yote ya Tanzania kwa kushirikisha michezo mbali mbali. Kushoto ni Mwakilishi wa Serikali za Wanafunzi na Mshauri wa Chuo cha C.B.E-Dar es salaam, Mr. Stephano na Afisa Uhusiano wa Miss Demokrasia Tanzania, Bi, Rosina Mchomvu.
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya vyuo 33 vya Elimu ya Kati,...