Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yavishukia vyuo vya afya

Serikali imesema itachukua hatua stahiki dhidi ya vyuo na taasisi zitakazobainika kutoa mafunzo ya afya bila usajili kutoka kwa mamlaka husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyuo vya afya vyakabidhiwa mabasi

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imekabidhi mabasi sita kwa vyuo vya afya na uuguzi ambayo yamenunuliwa kwa ufadhili wa mradi wa Mfuko wa Dunia (Global Fund), mzunguko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yahimizwa vyuo vya ufundi stadi

SERIKALI imetakiwa kuwekeza kwenye elimu ya vyuo vya ufundi stadi kwa lengo la kuviboresha na kutoa wahitimu bora hasa vijana.

 

5 years ago

CCM Blog

MAFUNZO YA MWONGOZO WA KUKINGA NA KUDHIBITI MAAMBUKIZI KWA WALIMU WA VYUO VYA AFYA TANZANIA YAFANYIKA DAR ES SALAAM.

Mwezeshaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Nicodem Komba (kulia) akizungumza jambo na Walimu wa Vyuo vya Afya wakati wa Mafunzo ya Mwongozo wa Kukinga na Kudhibiti Maambukizi katika Vituo vya kutolea Huduma za Afya tarehe17-22 Februari 2020 katika Ukumbi wa CEEMI, NIMR Mkoani Dar es Salaam.







Mratibu wa mafunzo Bi. Laura Marandu (kulia) kutoka Kitengo cha Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya akizungumza jambo na  Walimu wa Vyuo vya Afya katika Ukumbi wa CEEMI, NIMR Mkoani Dar es Salaam. 








Walimu wa Vyuo...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Serikali ilikosea kuua vyuo vya kati

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Serikali ilifanya kosa kuvibadili vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu, kutokana na kupunguza idadi ya watumishi wa daraja la kati ambao ndiyo watendaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Mziray: Serikali itupie jicho vyuo vya kati

Ilikuwa ni ndoto kwa wahitimu wa kidato cha nne au sita kuendelea na masomo ya vyuo vya kati kwa miaka ya nyuma tofauti na ilivyo sasa kwa kuwa hali imekuwa chanya.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: SERIKALI IMEFUNGA VYUO VYA KATI, VIKUU KUJIKINGA NA CORONA

SERIKALIimeagiza vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu vifungwe kwa muda wa siku 30 kuanzia leo Machi 18, 2020 ili kuondoa msongamano katika maeneo hayo na kuweza kujikinga na virusi vya corona.
Amesema hadi leo, nchini kuna jumla ya watu watatu waliobainika kuwa na virusi vya corona ikiwa ni ongezeko la wagonjwa wawili, mmoja ni raia wa Ujerumani (24) aliyegundulika Zanzibar na mwingine ni raia wa Marekani (61) aliyegundulika Dar es Salaam. Wote wapo katika uangalizi. ...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani