MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA HOROHORO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ujenzi wa jengo la kituo cha pamoja cha huduma ya forodha kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Horohoro, Tanga ambacho ujenzi wake umegharimu sh. bilioni 7.6.
“Jengo hili kuta tayari zimeshaanza kuvimba, kwa nini majengo ya TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) yanajengwa kwa kiwango cha chini na kwa nini mmeruhusu majengo haya yatumike,” amehoji Waziri Mkuu.
Kufuatia hali hiyo Waziri Mkuu amemtaka Afisa Miliki wa TRA, Bw. Haruna...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
MODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.



11 years ago
Michuzi
IPTL yapiga jeki ujenzi wa kituo cha polisi cha Mbweni- Malindi


5 years ago
CCM Blog
WAZIRI MKUU: HAJARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA YA FORODHA

“Jengo hili kuta tayari zimeshaanza kuvimba, kwa nini majengo ya TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) yanajengwa kwa kiwango cha chini na kwa nini mmeruhusu majengo haya yatumike,” amehoji Waziri Mkuu.
Kufuatia hali hiyo Waziri Mkuu amemtaka Afisa Miliki wa TRA, Bw. Haruna...
9 years ago
MichuziNHIF YAKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU KILICHOJENGWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA

10 years ago
Mwananchi03 Sep
Ujenzi kituo cha mabasi mikoani ‘danadana’
5 years ago
Michuzi
SIJARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA GEITA-KUSAYA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa amepanda juu ya ngazi kutizama mtambo wa kuchambua pamba katika kiwanda cha Matongo Farming Ltd wilaya ya Geita .Kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha robota 450 zenye uzito wa kilo 200 kwa siku.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ( aliyevaa koti la bluu ) akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Kiwanda cha Matongo Bw.Mwalida Samson wakitembelea kiwanda hicho mjini Geita leo.

Majengo ya kiwanda cha kuchambua pamba yanayomilikiwa na Chama...
10 years ago
StarTV12 Jan
Ujenzi wa kituo cha ushuru Rusumo, TANROADS yalalamikiwa.
Na Mariam Emily,
Rusumo.
Baadhi ya wananchi katika mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera, wamelalamikia wakala wa barabara nchini TANROADS kutokuwa makini katika usimamizi wa ujenzi wa kituo cha ushuru wa forodha katika mpaka huo, ambacho wanadai kimejengwa chini ya kiwango ukilinganisha na kile cha nchi jirani ya Rwanda, ambavyo vyote vimejengwa kwa ufadhili wa serikali ya Japan kwa gharama ya dola za kimarekani milioni thelathini na mbili.
Wananchi hao wametoa malalamiko hayo...
11 years ago
Mwananchi21 May
Sadiki aingilia kati ujenzi kituo cha basi
10 years ago
Mwananchi12 May
Ujenzi kituo cha kuchakata gesi Madimba wakamilika