majambazi yaua mpitanjia wakati wa uporaji arusha leo
Kunradhi kwa picha ya kusumbua hisia
Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha.
Inasemekana majambazi hayo yalikuwa yakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-r5zu7FzQ0A8/VG5A9a2Zk7I/AAAAAAAAc8A/kikHMlNSxIQ/s72-c/tt.jpg)
MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-r5zu7FzQ0A8/VG5A9a2Zk7I/AAAAAAAAc8A/kikHMlNSxIQ/s1600/tt.jpg)
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4vRC8Bj--8CuBlt0qGRbBJTj6Iq67TINQ8UndD9aPpnBUEkwovUU7NROehynsnpG3uHbSE*sCn-b17RoW-6Vrp/AUAWA2.jpg?width=650)
MAJAMBAZI YAUA ARUSHA
9 years ago
Habarileo19 Sep
Polisi yaua majambazi hatari Arusha
WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi ambao ni raia wa Kenya pamoja na Mtanzania mmoja wameuawa katika mapambano na polisi yaliyotokea eneo la Chekereni mpakani mwa wilaya ya Arumeru na Jiji la Arusha.
11 years ago
Habarileo03 Jun
Aliyeuawa katika uporaji Arusha ni mstaafu
ALIYEUAWA katika tukio la uporaji wa Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change, ametambuliwa kuwa ni mwalimu mstaafu wa jijini Arusha, Benedict Mmasi.
11 years ago
Habarileo30 Apr
Majambazi yaua Polisi wawili
ASKARI Polisi wawili kutoka Tarafa ya Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan Kaganda, alisema mauaji hayo yamefanyika juzi saa 2: 30 usiku katika kijiji cha Usoke wilayani Urambo.
11 years ago
Habarileo04 Mar
Majambazi yaua polisi hotelini
ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Majambazi yaua, yapora fedha
NI kama sinema vile iliyochezwa na majambazi mawili katika mji wa Geita. Majambazi hayo, juzi yaliuteka mji wa Geita kwa takribani dakika 15 kwa mtutu wa bunduki na kupora fedha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO
10 years ago
GPLMAJAMBAZI YAUA WATATU KIGOMA